Naona muda wa kula viporo vyetu sasa umewadia. Karibuni ndugu zangu.

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
46,405
Reaction score
138,158
Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani.

Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio. Maana viporo ni vingi! Na kila baada ya siku 3, vitaliwa.
Tujitahidi kuwa wavumilivu! Kwa sababu baadhi ya viporo vitakuwa vimechacha! Na hivyo vitakuwa haviliki.

NB:- Chonde chonde ndugu zangu! Tujitahidi kula hivyo viporo kwa kupokezana. Tukiwaacha watu wale wale tu kula mara zote! Tutasababisha matatizo makubwa ya kiafya kwa hao walaji.

Wahudumu nao wajitahidi kutenda haki, ili kila mtu apate kile kiporo anacho stahili.

Naomba kuwasilisha.
 
Hii Ratiba yao ni ngumu sana.
Hatuiwezi.
Watuheshimu
 
Sasa hivi Janshalewa, Ateba na Mukwala wanajua wanahitaji magoli mangapi wawe wafungaji bora. Camara anajua anahitaji clean sheet ngapi awe golikipa bora. Simba inajua inahitaji pwenti ngapi iwe bingwa.

Hiki kiporo ni kitamu kuliko hata mara ya kwanza msosi ulipotoka jikoni.
 
Naona umeandika kichura chura
1000274937.jpg
 
Leo ni tarehe 2! Tunaanza na kiporo cha kwanza. Nitakuwa nakumbushia kuhusu hivi viporo mpaka pale vitakapo kwisha.
 
Unajisikiaje huko ulipo?
Leo ni siku ambayo nimejisikia vibaya sana! Na hii ni kuanzia pale tu nilipo iangalia clip ya mke wa mwana jamii forums mwenzetu Mdude_Nyagali akimlilia mume wake na mtoto mdogo mgongoni! Na tukio la pili ni hili la kusikia uonevu waliofanyiwa Mashujaa Fc na mwamuzi wa mchezo.

I don't know why! Ila siku zote mimi ni muumini wa haki. Na mara zote huwa ninachukia sana dhuluma, na pia uonevu.
 
Ubaya Ubwelaaa
 
Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani.

Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio. Maana viporo ni vingi! Na kila baada ya siku 3, vitaliwa.
Tujitahidi kuwa wavumilivu! Kwa sababu baadhi ya viporo vitakuwa vimechacha! Na hivyo vitakuwa haviliki.

NB:- Chonde chonde ndugu zangu! Tujitahidi kula hivyo viporo kwa kupokezana. Tukiwaacha watu wale wale tu kula mara zote! Tutasababisha matatizo makubwa ya kiafya kwa hao walaji.

Wahudumu nao wajitahidi kutenda haki, ili kila mtu apate kile kiporo anacho stahili.

Naomba kuwasilisha.
Sawa uwe unatoa vyombo mezani na kutunawisha tukimaliza kula kila kiporo

Ok?
 
Back
Top Bottom