Cha kesho kutwa ni 🐖Kula ni mpaka tarehe 2 Sheikh wangu.
Hii Ratiba yao ni ngumu sana.Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani.
Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio. Maana viporo ni vingi! Na kila baada ya siku 3, vitaliwa.
Tujitahidi kuwa wavumilivu! Kwa sababu baadhi ya viporo vitakuwa vimechacha! Na hivyo vitakuwa haviliki.
NB:- Chonde chonde ndugu zangu! Tujitahidi kula hivyo viporo kwa kupokezana. Tukiwaacha watu wale wale tu kula mara zote! Tutasababisha matatizo makubwa ya kiafya kwa hao walaji.
Wahudumu nao wajitahidi kutenda haki, ili kila mtu apate kile kiporo anacho stahili.
Naomba kuwasilisha.
Tutaangalia maslai yetu zaidiChonde chonde ndugu zangu! Msije mkasusia tena mechi.
Unajisikiaje huko ulipo?Leo ni tarehe 2! Tunaanza na kiporo cha kwanza. Nitakuwa nakumbushia kuhusu hivi viporo mpaka pale vitakapo kwisha.
Leo ni siku ambayo nimejisikia vibaya sana! Na hii ni kuanzia pale tu nilipo iangalia clip ya mke wa mwana jamii forums mwenzetu Mdude_Nyagali akimlilia mume wake na mtoto mdogo mgongoni! Na tukio la pili ni hili la kusikia uonevu waliofanyiwa Mashujaa Fc na mwamuzi wa mchezo.Unajisikiaje huko ulipo?
Ubaya UbwelaaaLeo ni siku ambayo nimejisikia vibaya sana! Na hii ni kuanzia pale tu nilipo iangalia clip ya mke wa mwana jamii forums mwenzetu Mdude_Nyagali akimlilia mume wake na mtoto mdogo mgongoni! Na tukio la pili ni hili la kusikia uonevu waliofanyiwa Mashujaa Fc na mwamuzi wa mchezo.
I don't know why! Ila siku zote mimi ni muumini wa haki. Na mara zote huwa ninachukia sana dhuluma, na pia uonevu.
Sawa uwe unatoa vyombo mezani na kutunawisha tukimaliza kula kila kiporoNdugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani.