ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
"Pamoja Tutacheka na Kufaidi, siyo kulia!"mahusiano yatadumu ila pia ntakuwa nakula bata huo mkoa ninaotaka kwenda kila weekend uzuri nauli ni 5000 tu na km 100 tu.
Njia nzuri sana hata mimi ndivo ninavofanyaFuture wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote Mpaka jumatatu asubuhi ndo mimi narudi kazini.
Kwanza nitakuwa nimeepusha mengi maneno maneno yatapungua ya mtaani ambayo anaweza akapewa na vilevile mazoea yatapungua nahisi ndo mahusiano yatadumu ila pia ntakuwa nakula bata huo mkoa ninaotaka kwenda kila weekend uzuri nauli ni 5000 tu na km 100 tu.
Halafu ukichapiwa sana uanze kulia lia?!Naona ni idea nzuri kuishi mkoa tofauti na mkeo
Usije kuomba ushauri baadaye hapa JF kwa yatakayokukutaFuture wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote Mpaka jumatatu asubuhi ndo mimi narudi kazini.
Kwanza nitakuwa nimeepusha mengi maneno maneno yatapungua ya mtaani ambayo anaweza akapewa na vilevile mazoea yatapungua nahisi ndo mahusiano yatadumu ila pia ntakuwa nakula bata huo mkoa ninaotaka kwenda kila weekend uzuri nauli ni 5000 tu na km 100 tu.
Usije ukafanya hilo kosa ndugu yangu! Epuka sana kuishi mbali mbali na mke/ mme wakoFuture wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote Mpaka jumatatu asubuhi ndo mimi narudi kazini.