Naona sasa mchezo wa ndondi nao wameingia kwenye mfumo waja na ''Knock out ya mama''

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakuu !

Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali.

Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo wamenufaika zaidi kulamba mihela ya goli la mama na hata timu ya taifa nayo siku kadhaa zilizopita walipata milioni 700 baada ya kufuzu AFCON2025.

Sasa naona familia ya ndondi nchini nao wamekuja na ''Knock out ya mama'' ili waendele kula mema ya mama! Ambapo tukio zima kuelekea Tarehe 26 Desimba pale Superdome Masaki Kushuhudia pambano la ndondi za kimataifa.

Haya sasa na hapa tusemaje maana kila kona ni Mama tu anafanya.

 
Butumbafu
 
Butumbafu mwingine pia. MTU anakuja kitandani kwako, anakuvua suruali, wee unamuangalia tu, anakuvua boksa, upo kimya tu. Yatakukuta yaliyomkuta deogratius Kissandu alipokiwa anasoma Tanga, alikuwa anajidai yeye ni ndugu mtazamaji. Jamaa wakachezea mtaro
 
Ahahahahaha! Butumbafu ni twingi kumbe! Ahahahahaha!!!
 
Nilikua nafatilia utoaji wa tuzo za CAF juzi, yani mambo yalienda safi kabisa hakukua na ujinga kama wa hapa kwetu. Nikakumbuka usiku wa tuzo zetu za TFF yani mziki una makelele, tuzo zimechanganyana, hawa watu wa mama maelezo mengii sijui hua hawana aibu hawa watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…