Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wakuu !
Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali.
Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo wamenufaika zaidi kulamba mihela ya goli la mama na hata timu ya taifa nayo siku kadhaa zilizopita walipata milioni 700 baada ya kufuzu AFCON2025.
Sasa naona familia ya ndondi nchini nao wamekuja na ''Knock out ya mama'' ili waendele kula mema ya mama! Ambapo tukio zima kuelekea Tarehe 26 Desimba pale Superdome Masaki Kushuhudia pambano la ndondi za kimataifa.
Haya sasa na hapa tusemaje maana kila kona ni Mama tu anafanya.