Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Nimeona sugu ameitisha press, na kuwaambia waandishi wa habari kwamba atagombea ubunge 2025 October,
Naona hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya Chama, wanachama wengi wanaona kama Wana nafasi ya kuingia bungeni 2025, lakini maono ya viongozi wao wanaona ya kwamba hata kama wakiingia ulingoni basi madudu yaliyofanyika 2020 yataendelea kutokea, swali linakuja je Wana Chadema walio na ushawishi kwa wananchi na wanaona kama wakijaribu kutia nia huko majimboni watapata nafsi, wanaona Tena kususia uchaguzi wakae miaka mitano mingine kama vile hawawezi, hii imekaaje?
Sugu Katia nia, nani Mwingine atamfata?.....
============
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya maamuzi ya kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Pia, amesisitiza kuwa anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuligawa jimbo hilo linaloongozwa na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ili ajue atagombea wapi.
Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyopendekeza majimbo yake matatu kugawanywa ikiwa ni Mbeya Mjini ili kupata jimbo jipya la Uyole, Mbeya Vijijini Mbalizi na Mbarali.