Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
Pole pole tunaendelea kuboresha shule za kata: maabara,library,madarasa,waalimu wa kutosha na wenye weledi,mabweni na mazingira mazuri ya kusomea.Baada ya hapo nadhani itabidi mtafute kazi nyingine za kufanya.We endelea na miongozo yako tu katafute hela au mpeleke mwanao shule za kata ni bure acha vilio.