Mathanzua JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 17,449 Reaction score 23,124 Jun 30, 2020 #261 Kim Jong Jr said: We endelea na miongozo yako tu katafute hela au mpeleke mwanao shule za kata ni bure acha vilio. Click to expand... Pole pole tunaendelea kuboresha shule za kata: maabara,library,madarasa,waalimu wa kutosha na wenye weledi,mabweni na mazingira mazuri ya kusomea.Baada ya hapo nadhani itabidi mtafute kazi nyingine za kufanya.
Kim Jong Jr said: We endelea na miongozo yako tu katafute hela au mpeleke mwanao shule za kata ni bure acha vilio. Click to expand... Pole pole tunaendelea kuboresha shule za kata: maabara,library,madarasa,waalimu wa kutosha na wenye weledi,mabweni na mazingira mazuri ya kusomea.Baada ya hapo nadhani itabidi mtafute kazi nyingine za kufanya.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,281 Reaction score 49,313 Jul 8, 2020 #262 Ikiwa watoto watafundishwa yale yote waliotakiwa kufundishwa ndani ya kipindi cha huu mwaka, ada haitakua na mabadiliko sana. Punguzo liwepo kwenye chakula na usafiri.
Ikiwa watoto watafundishwa yale yote waliotakiwa kufundishwa ndani ya kipindi cha huu mwaka, ada haitakua na mabadiliko sana. Punguzo liwepo kwenye chakula na usafiri.