GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira tumeucheza, tunaujua na tunauchambua ukweli ni ule ule kuwa bado hatuna Timu, Uongozi bora na Mwalimu.
Imeisha hiyo.......!!
Mpira tumeucheza, tunaujua na tunauchambua ukweli ni ule ule kuwa bado hatuna Timu, Uongozi bora na Mwalimu.
Imeisha hiyo.......!!