GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hawa wanahamu ya mboko,(mijeledi)Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira tumeucheza, tunaujua na tunauchambua ukweli ni ule ule kuwa bado hatuna Timu, Uongozi bora na Mwalimu.
Imeisha hiyo.......!!
Bila wewe kuliamsha mashabiki Mbumbumbu waliobaki ni fuata upepo.Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira tumeucheza, tunaujua na tunauchambua ukweli ni ule ule kuwa bado hatuna Timu, Uongozi bora na Mwalimu.
Imeisha hiyo.......!!
Klop alivyotua liver aliomba miaka mingapi ili atwae EPL?Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira tumeucheza, tunaujua na tunauchambua ukweli ni ule ule kuwa bado hatuna Timu, Uongozi bora na Mwalimu.
Imeisha hiyo.......!!
100.Klop alivyotua liver aliomba miaka mingapi ili atwae EPL?
Uzi ufungweKila kitu kipo vizuri kabisa timu inaongoza ligi tayari , mwaka huu hatuyumbishwi na maneno ya mtu sisi ni kazi tu uwanjani , anayeona timu ni mbovu ahame tu akashabikie anayoiona iko vizuri.
Umeongea sahihi kabisa hapa,Kila kitu kipo vizuri kabisa timu inaongoza ligi tayari , mwaka huu hatuyumbishwi na maneno ya mtu sisi ni kazi tu uwanjani , anayeona timu ni mbovu ahame tu akashabikie anayoiona iko vizuri.
Yaani GENTAMYCINE nitoe Mtazamo wangu halafu usitimie? Narudia hatuna Timu wala Wachezaji.Kila kitu kipo vizuri kabisa timu inaongoza ligi tayari , mwaka huu hatuyumbishwi na maneno ya mtu sisi ni kazi tu uwanjani , anayeona timu ni mbovu ahame tu akashabikie anayoiona iko vizuri.
Simba guvu moyaa!, Ima faimaKila kitu kipo vizuri kabisa timu inaongoza ligi tayari , mwaka huu hatuyumbishwi na maneno ya mtu sisi ni kazi tu uwanjani , anayeona timu ni mbovu ahame tu akashabikie anayoiona iko vizuri.