Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Soma hii story: Putin ally threatens to use 'entire arsenal' of nuclear weapons if needed