Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si muda atapeleka Serbia wale jamaa bado wana usongo mkubwa na NatoMkuu siyo jambo rahisi! Usifikiri ni mchezo wa Yanga na Simba ambapo sisi huku bongo ni kushangilia tu!
Russia siyo Afghanstan wala siyo Iraq,Yugoslavia,Iraq nk
Russia imeanza kusogeza manowari zake za kinuklea Cuba na Venezuela!
Kule katikati ya Ulaya kuna Kanigrad ambako ana silaha za kutosha tu.
Sisi huku tuombe tu Mwenyezi Mungu apishilie mbali balaa hilo.
Reality check.Huo ni mtizamo na maoni yako.
Yeah propaganda kama propaganda nyingine
Kwenye Uchumi wa west umeboronga. Kama uchumi wa west unayumba, Russia ni zaidiKuna wakati hata naogopa kucoment maana mtu hata hajui Geographic ya Urusi na ulaya kwa ujumla anasema Urusi imezungukwa.
Mtu anafikiri URUSI ni kama Burundi. Hilo taifa Lina zaidi ya 1000 years na siku zote wanajua wapi vitani ya kuangushwa na kusambaratika. Hiyo hazijawahi na haitotokea.
Pili Kuna watu wanafikiri nyuklia zinazozungwa hapa ni vitoi. Hebu google comment za generals mbalimbali wa nchi za ulaya na NATO kwa ujumla kuhusu nyuklia war and Russian technology specifically.
Mwisho kwa Sasa Russia hakuna vita ndio maana maisha yao yanaendelea kama kawaida. Vita ipo maeneo yaliyokuwa zamani Ukraine na only 500,000 ya wanajeshi wake kwenye operation ya Kiev. Zaidi ya 1m wapi sehemu zingine wanalinda mipaka. Ndio maana wanafanya drills mbalimbali wanenda nchi zingine n.k kudhani eti wanajeshi wake wamechoka ni kijidanganya.
Vifaru main battle tank(5 generation) havipo msari wa mbele maana yake Bado hajatumia all resources.
Hao NATO wote uchumi wao uko hatarini maisha ya raia wao yameporomoka. Wakisema waingie vitani raia wao wataandamana na natabiri USA wataingia kwenye civil waYote
Leta takwimu zako kuonesha uchumi wa Urusi unayumba ama leta takwimu zinaonyesha uchumi wa West unafanya vizuri kuliko Russia.Kwenye Uchumi wa west umeboronga. Kama uchumi wa west unayumba, Russia ni zaidi
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Nakushauri kajisomee Kijitabu cha Tim Marshall....Prisoner of Geography...bila shaka utatoa maoni yako vizuri Ndugu.Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
www.thedefensepost.com
Hivi hata Ramani ya Urusi unaijua? Ukitoa magharibi kwa Urusi ambapo kunapaka na Ulaya Urusi pia anapakana na North Korea, China, Mongolia, Kazakhstan etc kifupi hizo nchi 3 China, Mongolia na Kazakhstan ndio zina mpaka mkubwa kushinda zote.Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Kwani Putin ni mmakonde?Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Wazungu gani? Kwani Putin siyo mzungu?Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Akili gani wanazo wewe hivi we una uhakika gani kama Mrusi na yeye alikuwa hajipangi au unahakika gani kama Mrusi anatumia full power yake.Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Unapenda tu ubishiLeta takwimu zako kuonesha uchumi wa Urusi unayumba ama leta takwimu zinaonyesha uchumi wa West unafanya vizuri kuliko Russia.
Mlangoni wakati walishaingia ndani,,mbona wanapigana na mrusi muda tu hakuna jipya, wanajeshi wa NATO walishaingia kwenye vita ya Ukraine muda tu na bado mrusi anamega nchiNi swala la muda. Sasa NATO wako mlangoni urusi