Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kuaminisha watu kwamba unachokisoma/ulichokisoma wewe ni sahihi??Nakushauri kajisomee Kijitabu cha Tim Marshall....Prisoner of Geography...bila shaka utatoa maoni yako vizuri Ndugu.
Wabongo mambo mengine kama hamtumii akili. Uzi (Nyuzi) nyingi humu JF raia wanailalamikia Rwanda ya Paul Kagame na hufika hatua wanasema mpaka ifanywe iwe mkoa wa Tz nchi ya Rwanda. Hii yote inaonyesha Rwanda anatishia amani ya nchi ya Tz.Reality check.
Russia hakuwa na sababu ya kupigana na ndugu yake Ukraine.
Na kwa udhaifu huo kajimaliza kizungu kwa wazungu wenzake.
Putin alitaka kuongeza CV za kuwa Russian Empire old stone age syndrome.
ukiwa wapi general. Bonyokwa au uko UkraineNisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Huyo babu Putin hii vita alishajinyea kitambo sana. Tunasubiria tu kama ni kusafirisha ama vipi.Mkuu siyo jambo rahisi! Usifikiri ni mchezo wa Yanga na Simba ambapo sisi huku bongo ni kushangilia tu!
Russia siyo Afghanstan wala siyo Iraq,Yugoslavia,Iraq nk
Russia imeanza kusogeza manowari zake za kinuklea Cuba na Venezuela!
Kule katikati ya Ulaya kuna Kanigrad ambako ana silaha za kutosha tu.
Sisi huku tuombe tu Mwenyezi Mungu apishilie mbali balaa hilo.
Hizo ni ndoto tu kijana!Huyo babu Putin hii vita alishajinyea kitambo sana. Tunasubiria tu kama ni kusafirisha ama vipi.
Sawa subiri tu wewe babu.Hizo ni ndoto tu kijana!
Vp wanataka kuingia ghetto la Putin? Kule ni mambo matatu utachagua moja aidha urudi na mimba, urudi bila marinda au urudi umenyamazaNi swala la muda. Sasa NATO wako mlangoni urusi
Haya amka wende Shule7 JUN, 2024
Russia’s nuclear weapons can turn US into radioactive ashes — Kurchatov Institute chief
Mikhail Kovalchuk said that it was the US that used nuclear weapons against people in 1945, dropping bombs on Hiroshima and Nagasaki in Japan
MOSCOW, June 7. /TASS/. Russian nuclear capabilities can turn the US into radioactive ashes, Kurchatov Institute President Mikhail Kovalchuk said.
"They are not afraid of China because only we can turn America into nuclear radioactive ashes," Kovalchuk said in an interview with Marina Kim for the New World project, according to the footage of the interview that was broadcast on Solovyov Live television.
The Kurchatov Institute president also said that it was the US that used nuclear weapons against people in 1945, dropping bombs on Hiroshima and Nagasaki in Japan.
💩💩💩💩💩💩7 JUN, 2024

Unaweza kujifanya unajua kuliko wengine kumbe hujui loloteNaona unadhania Russia ni Iraq au Syria au Libya…!! Huijui Russia hata kidogo wewe wala historia hujui, ungeulizia vita vya pili vya dunia nani alimdhibiti na kuipiga Germany, ujue wazi Russia nj hatari sana, jua hapo Ukraine NATO iko tangia vita vinaanza hadi leo, na bado wameshindwa kutoa Russia Ukraine, NATO wako kibao hapo Ukraine na wameshindwa, hiyo hadithi eti NATO sasa inaanza sijui kujiandaa ni uongo mtupu, NATO hakohoi mbele ya Russia
NATO hatathubutu kumvamia Mrusi. Kinachofanywa sana ni kika mtu kucheza cards zake ..Western wamempa silaha Ukraine apige ndani ya Urusi, Urusi nae ameahidi kupeleka silaha kwa maadui wa West...hasa hawa Houth wa Yemen .Belarus, Iran, N.korea, venezuela na sasa yupo na nyambizi zake za nyuklia zimepaki pale Cuba.Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Soma hii story: Putin ally threatens to use 'entire arsenal' of nuclear weapons if needed
Mkuu, Russia usiku wa kuamkia leo imechukua mazima mji wa Sumy.Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.
Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.
Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.
Wazungu wana akili sana
Soma hii story: Putin ally threatens to use 'entire arsenal' of nuclear weapons if needed
Hii ndo shida ya walimu kila kitu mnajuaJifunze kupangalia sentensi kabla ya kuanza ubishi
Hiyo historian ndo inayomfanya ashinde kuishi vizuri na majirani zake?Naona unadhania Russia ni Iraq au Syria au Libya…!! Huijui Russia hata kidogo wewe wala historia hujui, ungeulizia vita vya pili vya dunia nani alimdhibiti na kuipiga Germany, ujue wazi Russia nj hatari sana, jua hapo Ukraine NATO iko tangia vita vinaanza hadi leo, na bado wameshindwa kutoa Russia Ukraine, NATO wako kibao hapo Ukraine na wameshindwa, hiyo hadithi eti NATO sasa inaanza sijui kujiandaa ni uongo mtupu, NATO hakohoi mbele ya Russia