Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

Mlangoni wakati walishaingia ndani,,mbona wanapigana na mrusi muda tu hakuna jipya, wanajeshi wa NATO walishaingia kwenye vita ya Ukraine muda tu na bado mrusi anamega nchi
Na ule mkwara wa kwamba atakayesaidia hata silaha tu atajibiwa vikali vipi hapo alijibu?
 
Ajibu wakati anawamega,,,ukila na kipofu usimshike mkono
Kwa hiyo anamega wapi Sasa USA au mi nilitegemea aanze kurusha mihypersonic miji ya ulaya na USA wanaoleta misaada yeye anazidi kupigana na ndugu yake wa damu🤣🤣
 
Kwa hiyo anamega wapi Sasa USA au mi nilitegemea aanze kurusha mihypersonic miji ya ulaya na USA wanaoleta misaada yeye anazidi kupigana na ndugu yake wa damu🤣🤣
Mipaka ya russia kabla ya kuanza huko ukraine iko vilevile??, arushe mihypersonic kwa hao wachumba wakati hapo ni sehem ya kupasha tu,,,hao jamaa hawapanic kama US na wenzake ona Israel hapo alijambishwa tu anataka kuua watu wote wa Gaza, Ukraine angekutana na Israel ndo angefanywa hayo unayowaza uzuri warusi sio ma barbarian kama hao wamagharibi
 
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.

Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.

Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.

Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.

Wazungu wana akili sana

Soma hii story: Putin ally threatens to use 'entire arsenal' of nuclear weapons if needed
Haya mdo mathara ya kuangalia BBC na CNN kwa mda mregu
 
US Scrambles to Develop Hypersonic Missiles to Catch Up With Russia, China

Despite the billions of dollars in research and development funding dispensed by Congress in annual defense budgets, the US hypersonic missile programs to date boast a poor track record, marred by test failures and delays.
Desperate to catch up with Russia and China, the US is racing to develop hypersonic weapons for its Navy.
Towards that end, the US Navy is advancing its Hypersonic Air-Launched Offensive Anti-Surface Warfare (HALO) program. If all goes according to plan, it would equip surface and subsurface fleets with hypersonic anti-ship cruise missiles, as reported by The War Zone.
Contracts have reportedly already been awarded to defense contractors Raytheon and Lockheed Martin for competing missile designs said to be powered by ramjet or scramjet engines. A flight demonstration has been inked in for fiscal year 2027, with air-launched HALO missiles to be fielded sometime by 2029. From vessel-launched, these will potentially be expanded to surface- and subsurface-launched configurations
 
Mipaka ya russia kabla ya kuanza huko ukraine iko vilevile??, arushe mihypersonic kwa hao wachumba wakati hapo ni sehem ya kupasha tu,,,hao jamaa hawapanic kama US na wenzake ona Israel hapo alijambishwa tu anataka kuua watu wote wa Gaza, Ukraine angekutana na Israel ndo angefanywa hayo unayowaza uzuri warusi sio ma barbarian kama hao wamagharibi
Hujafuatilia vizuri historia ya urusi wewe! hao ni agressors balaa halafu very corrupt country ndo maana pamoja na ukubwa wa eneo wanazidiwa gdp na kakisiwa ka Japani

Sikatai wana vichwa vizuri kwa upstairs ila ni very corrupt country kwa jinsi ilivyo Russia ilitakiwa uchumi iwe inakimbizana na USA siyo kwenye arms race tu!
 
Putin alikosa busara,alidhani nchi za Magharibi hazitaungana hasa Ujerumani na Ufaransa kumdhibiti Putin.
Akategemea China huku China yenyewe inajua kuunga Putin ni kuwekewa vikwazo vya kubiashara na nchi za Magharibi.
Vile vile China anataka Russia dhaifu.
Kuungwa mkono na nchi za kiafrika hakuna impact ya kiuchumi wala kijeshi.
Iran nayo fuata mkumbo na drones zake ameishapoteza President Raisi.
Uturuki yeye anakula na kupuliza.
Kiduku wa Korea Kaskazini yeye anataka kufa na mtu siyo ishara nzuri kwake kwani Japan na Korea Kusini,Taiwan,Australia na Marekani wameongeza nguvu ya kivita kumdhibiti Kim.
Upo CNN kitengo gani mkuu
 
Hujafuatilia vizuri historia ya urusi wewe! hao ni agressors balaa halafu very corrupt country ndo maana pamoja na ukubwa wa eneo wanazidiwa gdp na kakisiwa ka Japani

Sikatai wana vichwa vizuri kwa upstairs ila ni very corrupt country kwa jinsi ilivyo Russia ilitakiwa uchumi iwe inakimbizana na USA siyo kwenye arms race tu!
Walio corrupt ni hao Ukraine,,,shida mna akili za urusi ya yule mlevi mliemuweza,,,huyu sasa ni Putin,,vikwazo vyote ila hola......,,,hao Ukraine wanaouza silaha wanazopewa na mafuta ya jeshi blackmarket naona ndo wasafi sana na mfano mzuri wa marafiki wa wamagharibi
 
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.

Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.

Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.

Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.

Wazungu wana akili sana

Soma hii story: Putin ally threatens to use 'entire arsenal' of nuclear weapons if needed
Watu wengi hawajuwi hili. Putting ameshapoteza wanajeshi wengi sana while nato ndio kwanza anajianda. Mwisho putting mtasikia amefariki. Kama wamemuondoa rais wa Iran
 
Kuna wakati hata naogopa kucoment maana mtu hata hajui Geographia ya Urusi na ulaya kwa ujumla anasema Urusi imezungukwa. Urusi ndio nchi kubwa kuliko zote duniani. Ulaya ipo upande Moja TU Western part na kidogo Southern part.

Mtu anafikiri URUSI ni kama Burundi. Hilo taifa Lina zaidi ya 1000 years na siku zote wanajua wapo vitani ya kutaka kuangushwa na kusambaratika hiyo haijawahi na haitotokea maana muda wote wapo macho.

Pili Kuna watu wanafikiri nyuklia zinazozungumzwa hapa ni vitoi. Hebu google comment za generals mbalimbali wa nchi za ulaya na NATO kwa ujumla kuhusu nyuklia war and Russian technology specifically.

Mwisho kwa Sasa Russia hakuna vita ndio maana maisha yao yanaendelea kama kawaida. Vita ipo maeneo yaliyokuwa zamani Ukraine na only 500,000 ya wanajeshi wake wako kwenye operation ya Kiev. Zaidi ya skari million Moja (1m) wapo sehemu zingine wanalinda mipaka. Ndio maana wanafanya drills mbalimbali na wanaenda nchi zingine kufanya operations mbalimbali n.k kudhani eti wanajeshi wake wamechoka ni kijidanganya.

Vifaru main battle tank(5 generation) havipo msari wa mbele maana yake Bado hajatumia all resources.

Hao NATO wote uchumi wao uko hatarini maisha ya raia wao yameporomoka. Wakisema waingie vitani raia wao wataandamana na natabiri USA wataingia kwenye civil war
Unaongozwa na hisia na chuki Huna facts nakuonyesha ukilaza unadiriki sema USA watakuwa na civil war
 
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.

Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na kuwa kuw na kambi za kijeshi ready kwa lolote.

Hivyo walimzuga putin yeye akaendelea na vita kumbe nyuma NATO wanajiimarisha mlangoni kwake.

Sasa anytime watavamia wameanza na kumpa ukraine sila za mbali kupiga ardhi ya urusi kama chambo tu ili putin alianzishe tu wammalize moja kwa moja.

Wazungu wana akili sana

Soma hii story: Putin ally threatens to use 'entire arsenal' of nuclear weapons if needed
Jichanganye
 
Back
Top Bottom