Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

Kwa uwezo wako wakufikiri basi ngoja tukubaliane na wewe kwamba wazungu wana akili zaidi kushinda wazungu wenzao wa Urusi
 
Endelea kuota
Siku utayoona Russia haipo ujue hata hio Nato haitakuwepo
Russia haiwezi kumalizika kwa kuingia vitani kijana
Njia pekee ya Russia kujimaliza ni labda kama itatokea civil war ila nje ya hapo poleni sana
Mimi sio kijana
 
Patachimbika, makombola makubwa ya nuclear yameelekzwa kwenye miji mikuu ya Ulaya, German, UK, France etc. Russia anazidi kujiimalisha zaidi kwenye nuclear kama mbwai iwe mbwai. Kasogeza makombola mengine uko Cuba na Venezuela kwa ajili ya America. Nyambizi za nuclear ziko ndani ya bahari ya Mediterranean na pacific kwa lolote. Hivyo siyo rahisi unavyofikilia wewe.
 

Attachments

  • Screenshot_20240819-131740.png
    711.6 KB · Views: 1
God Bless Israel
 
Huna akili wewe, urusi sio Iraq
 
Brain wash ni mbaya sana, kila nchi iko blessed, kila kipande Cha ardhi anayoishi binadamu hapa duniani kiko blessed. Na binadamu wote duniani wako blessed.
God Bless Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…