Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

Mwanzo 38 inasema usikojoe nje kama uko na mwanamke, sasa kama mtu hayuko na mwanamke na akaamua yeye mwenyewe kujikojolesha nje ubaya ama dhambi inatoka wapi?

Usisahau kwamba utamu wanaume hua anao yeye mwenyewe, kwa mwanamke hua anaenda kutafta utelezi tu.

Matusi sio dhambi, haipo kwenye amri 10 za mungu so haiwezi kupeleka watu motoni.

Mwisho, dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
 
Ukimtaja hitler usisahau kumuwek wenzake netanyahu na blair
 
huu unazi, mda huu niko room, sina manzi, nakwea mnazi tu siyo kama napenda
kuna phaller mda huu yupo Tabata Password Lodge, anaunga kikojoleo na kumwagia pazuri
tunakufa wote tunakutana chunguni si ujinga huu ?
True✔️
 
Kwamba kwa mwanamke tunafata utelezi tuu🤣🤣🤣
 
Hujui lolote kuhusu dini ,kichwani Ni mtupu kabisa ,hewa
 
Mifumo mibovu ya malezi hawàoni fursa
 
Mbinguni kwa Mwaka Dunia nzima hawafiki hata watu hamsini wanaoingia wengi ni kuzimu
 
Kwanza kabla ya yote Jehanam hakutoshani

Jehanam ni kibonde kidogo tu kilichopo Israel (Gehenna) ambapo walikuwa wakichoma maiti miaka ya zamani.

Kwanini Mungu wako anaangalia watu wanauana ilihali anauwezo wa kuzuia hayo halafu aje kuhangaika na wapiga punyeto!?


Your God is illogical

He/she doesn't exist.
 
Hakuna JAHANAMU.
 
QUMAMAMAKE MOTO HAKUNA WALA DHAMBI HAKUNA, KAMA UNABISHA THIBITISHA MOTO UPO UPANDE GANI WA DUNIA? Ngoja nialike na wenyangu cc ATHEST MPO WAPI MWANA ASIJE AKANISHINDA..MJE MJE TUMPIGE MASWALI MPAKA AKIMBIE UZIWAKE.
Amekaririshwa huyo...

Ukiomba ushahidi anakutajia maandiko, ambayo hana ushahidi kama ni maneno ya mungu, kwa sababu hawezi sema mungu alipo kwa sababu hana ushahidi.
 
Amekaririshwa huyo...

Ukiomba ushahidi anakutajia maandiko, ambayo hana ushahidi kama ni maneno ya mungu, kwa sababu hawezi sema mungu alipo kwa sababu hana ushahidi.
Mnakuwaga na ujuaji wa kisenge sana aisee.... au unadhani kusema hakuna Mungu ndo utaonekana mjanja?
 
Kila mtu ashinde mechi zake wa mbinguni waende mbinguni wa motoni waende motoni hamna haja ya kuargue
 
Huko jehanamu wewe umeshawahi fika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…