Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

Mhubiri 5:2
 
Namba moja hii tabia nimeacha, namba mbili hii ni nipo kwenye process, namba tatu hii tabia nimeacha, namba nne nayo nipo kwenye process ya kuacha, ee Mungu nisaidie.
 
Serikali ina jukumu, uwezo na nyenzo (sera, sheria, taasisi, na rasilimali) za “kutengeneza ajira”. Employment creation ni kpi moja muhimu sana ya serikali katika uchumi wa nchi makini - duniani kote.

Si suala la serikali kuwa na “hela nyingi za kuajiri”. That’s a fallacy. Ni kawaida kwa serikali isiyotaka kutimiza wajibu wake; inayoishi kwa kutegemea propaganda, kufurahia kuwahukumu vijana wake kwa “kosa” la “kuamini” kuwa serikali inaweza kuwapa wote ajira - serikalini! That’s not fair!

Ndio yale yale ya kukejeli wananchi kuwa katiba mpya “haiwezi kukuwekea ugali mezani”!

Vijana wanapopata msongo wa mawazo kwa ajira kuzidi kupotea nchini, serikali lazima iwe makini; isumbukie suala hilo badala ya kulichukulia kirahisi rahisi tu. Should be a matter of great concern.
 
Na uchawa pia, unakuta kijana anajifanya msabato safi kumbe ni chawa wa sa100 dalali wa bandari
 
KUSIFIA VIONGOZI DHALIMU NA WASIO NA UTU
 
Kwani kati ya kununua malaya na kupiga nyeto ipi ni dhambi kubwa
 
Hata kama serikali haiwezi kuajiri wote lakini sio kwa ratio ya fursa:wahitaji ambayo tumefikia mfano mzuri interview ya TRA hapa majuzi angalia idadi wa watu walioitwa linganisha na idadi ya nafasi zinazotakiwa kujazwa. Kuwarushia lawama vijana haisaidii kitu sawa tutapambana lakini kufanikiwa itakua ni kibahati nasibu sio kimfumo. Serikali lazima iweke mifumo kuondoa ilo. Hata kama haitaweza kuajiri wote angalao kuwe na uwiano yaani kusiwe na tofauti kubwa sana kati nafasi na wahitaji. Unampa mkopo mtu asomee uinjinia, udokta, uhasibu n.k halafu baada ya kuhitimu unamuambia akawe winga kariakoo..! it makes no sense.
 
Sasa huyo Mungu atapata faida gani kuchoma watu??
Cha ajabu anatuchoma kwa mambo ambayo yeye mwenyewe katupangia. Yaani ananiumba ananipangia maisha yangu yote halafu nikifa ananitupa motoni kwa sababu katika yale aliyonipangia kuna mengine yeye hayapendi
 
Motoni uache kwenda wewe na vibaka wenzio wa ccm uje kuwasingizia vijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…