Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Kwendraa waende zao wasitutishie tutaolewa na wazungu
Wazungu wengi mashoga na waliobaki hawataki mazoea ya ajabu na wanawake wanakula hawa mademu wanajiuza then kila mtu apite vile. Wanaume waliokuwa wanaoa kwa upendo walibakia afrika sasa nyie kwasababu ya kuleta akili za udangaji na njaa mshawakera wanatafuta alternative Elon Musk kaokoa jahazi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Roboti ni gogo
Roboti ni maiti iliyobadilishwa jina
Roboti haipigi stori upweke upo palepale dear
Kuhusu gogo hilo haina shida tunaelewa ni mdoli so hauwezi katika.

Kuhusu maiti huo ni uongo roboti hawezi kufa.

Tukitaka story tunawapigia simu washkaji tunaongea then maisha yanaendelea.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ila uzuri wa roboti hajui yafuatayo:,
1) Robot hajui kuomba pesa aka kupiga mizinga
2) Robot hajui hajui kula pesa za nauli za wanaume.
3) Robot hajui kuchepuka (ku-cheat).
4). Roboti haitaji vizawadi kutoka kwa bwana
5) Robot hajui mambo ya kunywa bia
6) ..............
7) ................
8) .............
Wengine malizieni
 
NAKAZIA
 
View attachment 2638297

Faida ya Madude ya Elon Musk

1. Hayana UKIMWI wala UTI Sugu
2. Hayakuombi matumizi
3. Hayuna Gubu
4. Hayachoki
5. Utamu mwingi
6. Hayachepuki
7. Yana Face ID kwahiyo hugongewi

Wewe unataka nini tena ?
Hebu ona watoto walivyo nona hao kama sinia la kitimoto iliyoipuliwa jikoni inakuja mezani ikifuka Moshi na Pepsi baridi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
na pengo la wanaume linazibika ? .........baby nipo usiwaze mi natosha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka hadi nimelala chini hapa. Dah umenichekesha balaa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
mbon mnajihami hivi subirini kwanza hzo totoz zije ndo tuone soko lenu litakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…