Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Fanya tafiti ni wanawake wangapi waliopo kwenye mahusiano/ndoa wanawafanyia waume zao hayo uliyo ongea wewe Halafu urudi hapa

Wanawake wa sahivi ushauri tu wa kimawazo wa kukupa hawana, eti ndo akupikie, heheeee Carleen
 
Ni dola kuanzia 1800 hadi dola 3000 hapo kila kitu hadi linafika hapa. Na kodi sidhani kama linachajiwa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwanza serikali sikivu ya mama Samia hairuhusu kuingiza nchini vitu vya ajabu ajabu ambavyo vitaua nguvu kazi ya taifa...maana vijana wa hivyo watakuwa wanajifungia chumbani 24/7
 
Tulieni dawa inatafuta ugonjwa
 
Daah...
Una pointi za msingi sana hapa!
Hamkwepeki kwa kweli.
Inabidi mke uwepo, halafu huo mdoli utakuwa mpango wa kando tu๐Ÿ˜
 
Fanya tafiti ni wanawake wangapi waliopo kwenye mahusiano/ndoa wanawafanyia waume zao hayo uliyo ongea wewe Halafu urudi hapa

Wanawake wa sahivi ushauri tu wa kimawazo wa kukupa hawana, eti ndo akupikie, heheeee Carleen
Mtulie mtafute wake sahihi achaneni na slei kwini rafiki yangu..!!
Watu kila siku huko wanatoa shukrani zao za dhati kwa Mungu kwa wenza walioko nao..!!
Shauri yenu na midoli yenu..!
 
I
Kuhusu gogo hilo haina shida tunaelewa ni mdoli so hauwezi katika.

Kuhusu maiti huo ni uongo roboti hawezi kufa.

Tukitaka story tunawapigia simu washkaji tunaongea then maisha yanaendelea.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ila mwamba ninavyokujua unavyolaumu kuombwa hata elf 30,hivi mdoli alivyo expensive utamuweza kumnunua kweli?hapo ndio utawakumbuka kina siyawezi na sikujua wa vizinga vya pesa ya madafu sio dola
 
Daah...
Una pointi za msingi sana hapa!
Hamkwepeki kwa kweli.
Inabidi mke uwepo, halafu huo mdoli utakuwa mpango wa kando tu๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Unamficha wapi Sasa huo msukule wako?
 
Bahati mbaya sana yale mambo ni saikolojia tu,mwanaume akishazoea robot ikajengeka kichwan, hapo kwisha habari! Hisia zinahamia kwa robot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ