Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Nenda YouTube kuna jamaa ni mjapan anayatengeneza. Nimepost picha zake hapo chini

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Roboti halina magonjwa kama gono, HIV/AIDS, UTI.

Roboti haliendi kwa mganga likaloge sperm zako

Roboti halina malalamiko yoyote, halisemi naumia, nachoka etc

Roboti halikwambiii mwagia nje
 
Roboti hata mkilipiga mande halikatai

Roboti Hana Mambo mengi

Roboti hapotezi muda kwenye kioo


Roboti ana upara haendi saluni


Roboti Ni chapu chapu

Hanuki mdomo ,
Hana fangasi

Size ya mnato una set mwenyewe


Roboti hakuulizi unamaliza sa ngapi


Nakupenda roboti I wish tungejuana mapema
 
KWA ZAMA HIZI BORA YA ROBOTS:

Methali 21:19:Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu.
Mit 25:24:Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.

ROBOT UNA MKUTA YUKO SEALED KABISA, SIO USED KAMA 🤣
ROBOT HANA EX KAMA WEWE,
ROBOT HACHITI KAMA WEWE.


HUKU ROBOTS,
KULE MASHOGA
TUKO PAZURI SANA SASA.
 
Hawezi kutoa uzazi tu labda mengine yote hapo yuko vizuri mara mbili ya nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…