Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Hatutaki msituchonganishe na roboti mana tunampango awe na program ya kuwadunda nyie mkisumbua
 
Kwani hayo matango mnayotumia yanatoa utelezi?
 
Roboti hali kwaiyo garama za kula na nguo sio muhimu ye ata akishinda uchi wiki nzima ni sawa tu ilimrad awe msafi sasa nyie mara cjui ela ya nywele cjui outing na mkishaanza kuongea vingereza ndo mnataka pesa nyingi nyie eeh
 
mumeaahau na kingne robot halichoki n wala halikupangii, wew n kupeleka moto tu ,nyie wadada jau n munasumbua sana unakuta ki1 tu anakwmbia hataki tena kachoka
 
Hatujawahi wasaliti mbona
Kinachowauma nini?? Nyie mmekuwa na kila aina midori. Dildo zenye maumbo tofauti tofauti. Kifupi tu ni kwamba, we are all replaceable. Don't be deceived, hilo joto unaloliongelea na kufinyia ndani sijui mabo ya udaku yote yatakuwepo tu. Robot iliyopo Google na apple ambayo huwa tunaweza hata kuchati nayo story mbali mbali including udaku.
AI inqkuja kasi sana. You are replaceable, so take us for granted au katumie dildo.
 
KWA ROBOTO
HAKUNA VIPIGO, UHAI UNAOKOLEWA
EBU ONA
1. MTU ANAJIUA KUTOKA JUU YA GHOROFA 7, KWA SBB YA MWANAMKE
2. MTU ANATOBOA MACHO NA KUTOA MENO YA MWANMKE KWA SBB YA WIVU WA MAPENZI!
 
πŸ˜³πŸ™„
 
KWA ROBOTO
HAKUNA VIPIGO, UHAI UNAOKOLEWA
EBU ONA
1. MTU ANAJIUA KUTOKA JUU YA GHOROFA 7, KWA SBB YA MWANAMKE
2. MTU ANATOBOA MACHO NA KUTOA MENO YA MWANMKE KWA SBB YA WIVU WA MAPENZI!
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…