Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

mumeaahau na kingne robot halichoki n wala halikupangii, wew n kupeleka moto tu ,nyie wadada jau n munasumbua sana unakuta ki1 tu anakwmbia hataki tena kachoka
😳Kwa dudu ipi? Hiyo Kwa a vatar?
 
Roboti hali kwaiyo garama za kula na nguo sio muhimu ye ata akishinda uchi wiki nzima ni sawa tu ilimrad awe msafi sasa nyie mara cjui ela ya nywele cjui outing na mkishaanza kuongea vingereza ndo mnataka pesa nyingi nyie eeh
🤣🤣🤣🤣🙄
 
Una uhakika?
 
That's my lovely little PP😊.

Licha ya chagamoto nyingi za kimahusiano zinazotukabili katika kizazi hiki, haiondoi ukweli kuwa kila nafsi inatamani kupata na kuwa karibu ya mtu fulani ambae watathaminiana katika hali zote.

Kwakua sio kitu chepesi kufanikisha hilo, hasira hufanya wengi wafikiriie the only option ni kutafuta namna ya kukwepa hiyo mishale ya harakati za trying & erros kimahusiano.
 
Kwa hayo unayopitia ukienda kwa mwanasesere wa Elon sio mbaya ila sisi wengine tunawafanyia waume zetu hayo yote na hapa kaniambia nisiwe na hofu hakuna mdoli awezae kuchukua nafasi yangu
 
Seems hili swala la mwanamke roboti linataka kuwakosesha amani na furaha dada zetu, mpaka kufikia hatua mmeanza kulianzishia nyuzi [emoji4]
 
Kabisa mkuu.
Mim mamidole yapo siku nyingi na kama Elon anatengeneza ya kwake yatakua advamced tu ila 100% sure hayawezi kuchukua nafasi ya mwanamke.
Kwanza kila mwanamke kaumbwa tofauti na wanawake wengine na wakati huo huo kila mwanamke kafanana na wanawake wengine wote kwa namna moja au nyingine.

Wanaume watakaokata connecttion na wanawake baada ya muda fulani watapata changamoto za kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…