Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Mi mwenyewe nadhani robot ni kitu kizuri sana hizo sifa zilizosemwa na To yeye katika dunia ya sasa hata hazina mashiko.
Wanaume tutafute hela tuagize marobot.
Elon Musk 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Mengine,
1. Roboti hana Gono
2. Roboti hana UTI sugu
3. Roboti hana PID
4. Roboti hana Gubu
5. Kuifinyia ndani sio issue, kikubwa wazungu watoke
6. Katerero ya nini ? ( Raha anapata nani kwenye katerero yako )
7. Story za udaku sio issue, tutazipata tu.

Anyway. Siungi mkono Robot
 
🤣🤣🤣☹️
 
Wasipoelewa bas Wana shida pahala
 

U single mother ni mbaya sana 😆😆😆😆
Kuna pisi fulani ipo humu huwa inanifurahisha sana na huwa ninaicheka na kuifokea kama kawaida pale ninapoona nayo. Yaani huwa inajifanya iko very strict na visheria vya hovyo hovyo mbele ya mwanaume. Kifupi U single mother ni mbaya sana na haufai. Na hiyo yote ni kujifanya much know sana
 
Mi mwenyewe nadhani robot ni kitu kizuri sana hizo sifa zilizosemwa na To yeye katika dunia ya sasa hata hazina mashiko.
Wanaume tutafute hela tuagize marobot.
Elon Musk 🔥🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣Hizi mambo umeanza lini,eti baba?
 
Siyo kitu poa kabisa
 
Ndio hivo siku hizi wanawake nao wamekua disminders wa kiwango cha lami

Nikupe mfano rahisi tu ni sawa na wewe mwalimu, umekomaa kumchapa mwanafunzi ambaye kila siku anafeli masomo ambayo hayaelewi, sasa badala ya fimbo zako kumfanya huyo mwanafunzi kuelewa hayo masomo ndio kwanza zinamfanya awe sugu

Hivo basi kitakachofuata ni hayo masomo yasiyoeleweka ataendelea kufeli, na itafika kipindi ukimchapa atakuwa haumii tena kama zamani maana kashakuwa sugu, hiko ndio kinachoanza kutokea kwa wanawake wa sasa
 

Disminders kwa nje lakini mioyoni wanaumia sana . Wengi wapo desperate na waverugika sana kisaikolojia japo na wanajikaza lakini uchungu upo kwenye mioyo yao . Ukikumbuka what was your purpose in this world. Wewe uliumbwa uje kuwa msaidizi wa mwanaume halafu leo hii anatokea Mhuni mmoja huko duniani anakuondolea lengo lako la wewe kuumbwa hapa duniani unajisikiaje?
 
Siyo kitu poa kabisa

Inauma sana yaani una ubavu wa Mhuni halafu wewe unaishi kiboya boya na unajifanya disminder utaumia roho yako na utakuwa na mihasira muda wote na dunia utaiona jehanamu ndogo 😂😂😂
 
Hilo swali ilipaswa wajiulize wanaume, ambao wanajua kabisa wanawake waliumbwa kuwa wasaidizi wao, lakini wanashadadia utengenezwaji wa midoli

Sasa kama ninyi tu viongozi mnashindwa kureason, mnaenda tu kama nyumbu, mnategemea hao wasaidizi wenu mnaopaswa kuwaongoza wafanyeje sasa

Yani narudia tena, wanawake wako desperate na ndoa kwa sababu ni wanaume ndio waliwafanya waamini hivyo in the first place, na ndio maana hali ni tofauti sasa hivi ambapo zama na mitazamo vimebadilika

Wanawake wengi kikubwa kinachowaumiza mioyoni ni ile tu "jamii itanichukuliaje" na si vinginevyo, na ndio maana haya mambo ya kuwa desperate na ndoa hauwezi kuyakuta kwa wazungu, au kwenye jamii nyingine zinazopigania usawa wa kijinsia

Hizo jamii zimeshaacha stereotypes kwa wanawake, ndio maana huko siku hizi wanawake kuolewa wana miaka 40+ au kutokuolewa kabisa ni kawaida, na wala hutasikia kelele kwamba ni malaya sijui katumika sana ila njoo huku sasa

Nasema hivi acheni hizo stereotypes zenu kwa wanawake, yani wakichelewa kuolewa au hata wasipoolewa kabisa ionekane ni kitu cha kawaida tu, halafu na ninyi endeleeni na ishu zenu muone kama kuna mwanamke atalazimisha ndoa tena kwa hawa wanaume wa siku hizi

Hawa wanawake ni ninyi wanaume ndio mmewakalia kooni halafu mnasingizia eti wao ndio wanahitaji sana ndoa, kwanini muwasemee kwanini msiwaache ili ukweli ujulikane, yani acheni tu inyeshe tuone panapovuja mbona mnaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…