Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ukiona mwanamume ana huzuni ujue mwanamke kahusika sasa nikiwa nalo hilo huzuni itokee wapi no stressVp linaweza kukushauri na kukupa maneno ya faraja siku za huzuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mwanamume ana huzuni ujue mwanamke kahusika sasa nikiwa nalo hilo huzuni itokee wapi no stressVp linaweza kukushauri na kukupa maneno ya faraja siku za huzuni?
Plastic surgery inatoa hali ya ubinadamu kumbe?Kwani mnavyofanya plastic surgery huwa tuna waonaje si sawa na hao
Poueee! Sisi na marobot tu! Tumechoka kupigwa vibuti, kuringiwa, kuteseka na kunyimwa unyumba, kusalitiwa na kupakaziwa watoto za watu!😂😂😂Mimi Clepatina nikiwa nimepiga magoti huku machozi yakinilenga lenga kwa sauti ya upole na unyenyekevu nasemajee WANAUME ZETU NAOMBA MTUSAMEHE MABAYA YOTE TUNAYOWAFANYIA WAUME ZETU VIPENZI SWEETHEARTS HANDSOMES PLEASE MSIOE MAROBOTI🤣.
Sasa mkioa maroboti sisi atatuoa nani jamani🤣.
NB:Nafikiria kwenda kuchoma moto kiwanda cha maroboti
Wee waache tu na wakirud na vipisi vilivyokatwa na roboti hatuwapokeiAkijibu nitag
Uzuri wa robot halichakai wala kuzeeka kama hawa wadada mimba 2 tu mtindi ushashukaKama ako ka kulia mi tayari nishakapenda wakuu
😒😒😒😒😳 Like seriously???!!
Yaani niwaache nyie niende kwenye robot ni kitu siwezi kabisaHakuna,trust me
Sidhani kama litakua unaliset mara Kwa mara! Changamoto unayofikiria ww wao walifikiria kabla hawajaanza hyo project! Walishamstudy mwanamke na wakascan tabia zake mda wa kudinyanaMpaka uset mitambo si dudu inakuwa imelala
Huyo mrembo robot ni mama wa nyumbaniMh,na kazin mkeo anakuwepo?
Interestingraha ya mtandao pendwa ainyee, roboti halinyii 🙃🙃
Mlikuwa hamjui au! Wewe unafikiri idea ya kuleta robot imetokea wapi?Plastic surgery inatoa hali ya ubinadamu kumbe?
Kwa hiyo unakiri nyie ni wasambazaji wazur wa gono kwa wanaume sio??Nendeni kwa maroboti kama mnahela mnadhani wananunuliwa kihela ya nyanya Hawa wanagharama zao ambao ni Bora umlee Fatma wa buza na pesa ya kujitibia ghono inabakia[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata changamoto za kazin huzun yake alaumiwe mwanamke?Ukiona mwanamume ana huzuni ujue mwanamke kahusika sasa nikiwa nalo hilo huzuni itokee wapi no stress
haha wewe mwanachama wa CHAPUTA na mimi katibu ile kampeni ya kataa ndoa haituhusuwawatengenezee kabisa yenye 6 pack wasitusumbue na vitambi vyetu 😂
Ingekuwa kureMi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:
1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu
NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
Kama ingekuwa ni ku-rank kwa umuhimu/ubora basi hiyo namba 3 ungeweka iwe namba 1.Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:
1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu
NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
Kila kitu ni mwanamke kwa sababu hustle zetu zote ni ili kulamba mbususu zenuHata changamoto za kazin huzun yake alaumiwe mwanamke?