Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

1.Robot ana joto kuliko nyie
2. Robot inabana
3.Robot chuchu saa sita
4. Robot mauno ya hatari. Nyie kazi yenu kutikisika tu
😭😭😭😭😭
Msiseme hivi jamani mnaniogopesha 🤣🤣.
Tunawapenda jamani msiende kwa roboti🤣
 
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:

1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu

NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
1.Anaowekewa hauna tofauti na wenu
2.Elon kasema yatakua marobot aina zote hela yako tu kuna yenye nayo na wasio nayo
3.Elon kasisitiza kuna Premium Package ya robot hiyo inafinyia kwa ndani ni hela tu
4.Elon kasema hilo halina tatzo tutapata joto tutakalo,bibie ana thermostart inakupa ya kujipmia
5.Hapo tu ndio wanawake mmetofautshwa na huyu shost ila Elon amesema analifanyia hilo kazi hasa Ma robot yatayouzwa Tanzania, kama vile iphone za uk na za bongo na robot hvyo hvyo

kiufupi wadada mshaumizwa mashindano ya CAF mapema sanaaa
 
🤣🤣🤣☹️🤒
 
View attachment 2638297

Faida ya Madude ya Elon Musk

1. Hayana UKIMWI wala UTI Sugu
2. Hayakuombi matumizi
3. Hayuna Gubu
4. Hayachoki
5. Utamu mwingi
6. Hayachepuki
7. Yana Face ID kwahiyo hugongewi

Wewe unataka nini tena ?
Eeh yani mbususu ina password😲😲😲😲 kweli jamaa katisha. No kugomgewa sio hizi za hawa warembo kila njemba mwenye hela anachovya
 
Tunajirekebishe please msiende kwa roboti🙏
Ila on a serious note;

Hakuna roboti la kike linatengenezwa hizi ni propaganda na hizo picha zote mnazoziona ni AI generated. Elon Musk hatengenezi maroboti ya kike.

Binafsi naamini haiwezekani kabisa ku-replace mwanamke, itakua ngumu sana ku-replace vitu vyenu vyote
 
Back
Top Bottom