Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Roboti sawa na mkono au sabuni
Roboti hana kisirani ila utapata kisirani cha tanesco
Roboti hacheat sababu remote unatembea nayo
Acha remote uone kama hajapandiwa
Hofu ya kuchapiwa haitawaacha salama ,,,
Hawatumii umeme wao wanchargiwa tu wanakaa wiki ndio wanazima au wiki mbili inategemea umenunu how much
 
Roboti sawa na mkono au sabuni
Roboti hana kisirani ila utapata kisirani cha tanesco
Roboti hacheat sababu remote unatembea nayo
Acha remote uone kama hajapandiwa
Hofu ya kuchapiwa haitawaacha salama ,,,
Ngoja waje sisi watumiaji ndo tutatoa maoni wewe endelea kufunga na kuomba wasiwe watamu.
 
Back
Top Bottom