Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Eeh yani mbususu ina password😲😲😲😲 kweli jamaa katisha. No kugomgewa sio hizi za hawa warembo kila njemba mwenye hela anachovya
🤣🤣🤣Una maneno kweli
 
»ROBORT HACHEAT,
»ROBORT HANA MAJI MENGI,
»ROBORT HANA KISIRANI,
»ROBORT HAMGOMBANI,
»ROBORT ASEMI AMECHOKA,
»ROBORT HARIDHISHWI UNAJIRIDHISHA MWENYEWE,
»ROBORT HUJISUMBUI KUMUANDAA,
»ROBORT HANIPENDEI HELA
»ROBORT ANA SHAPE ILE YA MIDOLI YA NGUO 😋
»ROBORT NA KADHALIKA...
Roboti sawa na mkono au sabuni
Roboti hana kisirani ila utapata kisirani cha tanesco
Roboti hacheat sababu remote unatembea nayo
Acha remote uone kama hajapandiwa
Hofu ya kuchapiwa haitawaacha salama ,,,
 
Wanawake ombeni tu mchina atengeneze robot ya kiume mana kwa usalit mtaishi kupigw spoku na prise na saiv wameanza kutumia na nyundo hee shaur yenu
 
Back
Top Bottom