Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Ubahili amuachie Nani?wakati Siwajibu anataka zake 20 tu?Kama mtu ana uwezo wa kununua gari ya million 15 mpaka 30 atashindwaje mdoli wa million 6.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubahili amuachie Nani?wakati Siwajibu anataka zake 20 tu?Kama mtu ana uwezo wa kununua gari ya million 15 mpaka 30 atashindwaje mdoli wa million 6.
wanakosa soko qmmmmmmq wacha wafe njaa hao, pumbavHuko Japan nasikia kimenuka, yule jamaa anayoyatengeneza anapokea simu za vitisho toka kwa wanawake wa huko maana wanaume wameweka order kama wananunua magari.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sisi hiyo hatujaongea na Elon Musk muulizeni wenyewe. Sisi tunahangaikia riziki yetu ya dhikir tu.Aisee wakiume wanaletwa lini??
Yaani ni mtamu balaa. Me hapa naona kama wanatuchelewesha sijui niende tu huko Japan nikalisubirie pale kiwandani.Hadi anawowo To yeye umeona mama kazi kwako
Stupidity....Kataa Mizinga
Kataa Gono
Kubali Roboti
Kuna jamaa alijaribu kuyatengeneza soko lake anasema sio zuri ila haya ya kike yanauzwa balaa wanaume wa huko wanavyozidi kupata taarifa wanazidi kuyatafuta na kuyatengea bajeti wanunue.Mbona yapo na hayo, sema tu madem wabongo hawayawezi maana hayana hela za kuhonga [emoji23]
Wewe ni ShogA???Yaani ni mtamu balaa. Me hapa naona kama wanatuchelewesha sijui niende tu huko Japan nikalisubirie pale kiwandani.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Weeee nitapambana hadi linunuliwe. Afe mtu afe m'masai.Walah wewe huwezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hela yako chungu sana
soko lenu linapoteaStupidity....
Aaah usinidanganye bwana labda Extrovert ndio anaweza lipia hiyo hela anunue mwanasesere,na sio wewe....wewe pesa yako ngumu Sana😂😂😂😂Tukilipa hiyo Dollar 3000 ndio hatulipi tena Milele hadi uzeeni.
Mbona magari tunalipia zaidi ya dollar 10,000 tushindwe lipia dollar 3000.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Teh tehKataa Mizinga
Kataa Gono
Kubali Roboti
Hao wanataka free boat usiwaamini. Sisi wanaume wa shoka ndio tumeamua kuwa kama mbwai iwe mbwai tuyanunue.Kuna wenzenu hawayataki hayo ma wanasesere yenu,mjichangie wenyewe mnaopenda kukaa na misukule
Daaah we jamaa ni vile huwezi li afford kulinunua,Ila lingekuwa linauzwa laki Kama Yale ya kitundikia nguo kkoo nadhani lazima ungejipatia moja[emoji134][emoji134]
Kama nina hela, ni heri ninunue mdoli wa dola 3000, kuliko kumpa hela mwanamke anaeniomba hela kwa kunikomoa, tsh laki 1 JoannahUtapata wafuasi kibao,Hawa pasua kichwa wanaoshindwa kumudu kumpa Mwanamke hata laki moja eti Leo wanajifanya watamiliki midoli ya dola 3000,si uongo tu huo.😢
Android itawekwa humo sasa hilo litakuwa linatembea na kuongea fresh ni swala la upgrade tu.hizi ni sex dolls zipo miaka mingi sana[emoji23] hapa tunazungumzia android
[emoji23][emoji23][emoji23]Ubahili amuachie Nani?wakati Siwajibu anataka zake 20 tu?
Mchina lazima atoe toleo la bei zatu waafrikaBado sana, kwanza hela zenyewe za kununulia hawana.
mdoli ni nyeto iliyochangamkaKama mtu ana uwezo wa kununua gari ya million 15 mpaka 30 atashindwaje mdoli wa million 6.
Shoga wakati natomba, shoga ningehangaika na maroboti ya kike. We vipi wewe?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni ShogA???