Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Aaah usinidanganye bwana labda Extrovert ndio anaweza lipia hiyo hela anunue mwanasesere,na sio wewe....wewe pesa yako ngumu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na aliyekwambia unakaa nalo Hadi uzeeni ni nani?kwa shoo zenu hizo za kulipakia mkongo halichukui round mbona,utachangaa tu unaliwashwa""pi piii,VIRUS DITECTED "wacha na kuwasha wapiiiiii[emoji22][emoji22][emoji22]unavaa suruali yako unasogea riverside
Napiga sim kiwandani naagizia lingine.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Utaenda nae out?
Ukiumwa atakupikia?
Sehemu wenzio wanatambulishwa kama mr and mrs na wewe ulibebe mtambulishwe kama mr and mrs
Fanya utafiti, kwenye mahusiano 20, ni asilimia ngapi ya wanawake wanapikia wanaume zao chakula, halafu urudi hapa Clepatina
 
Hao wanataka free boat usiwaamini. Sisi wanaume wa shoka ndio tumeamua kuwa kama mbwai iwe mbwai tuyanunue.

Haya nitanunua tu na likifika lazima niweke picha hapa nikiwa tumekumbatiana na my wangu roboti.

Na nasikia nimlaini.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wewe Kama wewe hununui,labda uazime la kupigia picha tu😁😁😁nimekaa paleeee👉👉
 
Tutauza hata viwanja na mashamba na kukopa benki, huu mzigo hauwezi kuvuka milioni 6. Tunanunua ndani kwajiri ya matumizi ya kiume na ya kibinaadamu.

Hivi kwa mzigo kama huu kweli nikiwa nao ndani mama njelekela akileta kelele si nahamia tu chumba cha watoto nakuwa najipimia. View attachment 2638364View attachment 2638365View attachment 2638366View attachment 2638367View attachment 2638369

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Maroboti yenu 20 elfu dolari mtajua wenyewe
 

Attachments

  • Screenshot_20230528-200230.png
    Screenshot_20230528-200230.png
    40.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230528-200201.png
    Screenshot_20230528-200201.png
    334.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230528-200158.png
    Screenshot_20230528-200158.png
    208.3 KB · Views: 2
Sasa anakukumoa Nini jamani,Kama ana shida asikuombe mpenzi wake?
Nimechukua namba yako jana, leo unaniomba hela, nikikupa io hela leo, kesho, na kesho kutwa, na mtondogoo utaniomba tena hela, kama nia yako sio kunikomoa, nia yako ni nini?

Chunguza vizuri humu mitandaoni, sio tu jamii forum, nenda nairaland, JamiiForums.com, reddit, etc utaona sisi wanaume wengi kwenye swala la mahusiano ya kimapenzi, tumewachoka wanawake, hatutaki hata kujihusisha na ninyi..tunaishia kucheza games, kunywa pombe, na kununua makahaba wanaojiuza barabarani, au kupiga nyeto Joannah
 
Poleni kwa hilo ila hata roboti halitakaa lifikie hata theluth ya faida zetu kwenu
Faida mbona hatupati. Nguo tunafuliwa na house girls au dobi, chakula kizuri siku hizi tunapata migahawani, usafi tunafanyiwa na hata watu wa usafi unatoa tu 20,000 wanasafika kila sehemu nyumba nzima.

Game ndio hivyo tunapewa ila kwa masharti hadi inabidi tukanunue huko kona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom