Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Acheni wivu. Mbona sisi hatujawahi kuyaanzishia uzi matango
Napiga sim kiwandani naagizia lingine.Aaah usinidanganye bwana labda Extrovert ndio anaweza lipia hiyo hela anunue mwanasesere,na sio wewe....wewe pesa yako ngumu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na aliyekwambia unakaa nalo Hadi uzeeni ni nani?kwa shoo zenu hizo za kulipakia mkongo halichukui round mbona,utachangaa tu unaliwashwa""pi piii,VIRUS DITECTED "wacha na kuwasha wapiiiiii[emoji22][emoji22][emoji22]unavaa suruali yako unasogea riverside
Eti bana [emoji23][emoji23][emoji39]Acheni wivu. Mbona sisi hatujawahi kuyaanzishia uzi matango
Fanya utafiti, kwenye mahusiano 20, ni asilimia ngapi ya wanawake wanapikia wanaume zao chakula, halafu urudi hapa ClepatinaUtaenda nae out?
Ukiumwa atakupikia?
Sehemu wenzio wanatambulishwa kama mr and mrs na wewe ulibebe mtambulishwe kama mr and mrs
Tumewahitaji muda mrefu sana mnaishia kutusumbua.Kwa maelezo yako ni kwamba mnatuhitaji.
Hatuachi vizinga wala nini nishajua bila sisi hamtoboi hapa dunian[emoji1787][emoji1787]
Poleni kwa hilo ila hata roboti halitakaa lifikie hata theluth ya faida zetu kwenu
Wewe Kama wewe hununui,labda uazime la kupigia picha tu😁😁😁nimekaa paleeee👉👉Hao wanataka free boat usiwaamini. Sisi wanaume wa shoka ndio tumeamua kuwa kama mbwai iwe mbwai tuyanunue.
Haya nitanunua tu na likifika lazima niweke picha hapa nikiwa tumekumbatiana na my wangu roboti.
Na nasikia nimlaini.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Maroboti yenu 20 elfu dolari mtajua wenyeweTutauza hata viwanja na mashamba na kukopa benki, huu mzigo hauwezi kuvuka milioni 6. Tunanunua ndani kwajiri ya matumizi ya kiume na ya kibinaadamu.
Hivi kwa mzigo kama huu kweli nikiwa nao ndani mama njelekela akileta kelele si nahamia tu chumba cha watoto nakuwa najipimia. View attachment 2638364View attachment 2638365View attachment 2638366View attachment 2638367View attachment 2638369
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sintoshindwa Kwa anitiaye nguvYaani ni mtamu balaa. Me hapa naona kama wanatuchelewesha sijui niende tu huko Japan nikalisubirie pale kiwandani.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Nimechukua namba yako jana, leo unaniomba hela, nikikupa io hela leo, kesho, na kesho kutwa, na mtondogoo utaniomba tena hela, kama nia yako sio kunikomoa, nia yako ni nini?Sasa anakukumoa Nini jamani,Kama ana shida asikuombe mpenzi wake?
[emoji28][emoji28]Bado sana, kwanza hela zenyewe za kununulia hawana.
[emoji28][emoji28]usiwaze mkuu watatengeneza na ya kiume kila mtu afe na msala wake [emoji23]
hilo roboto hata lingekuwa $ 1 siwezi nunua.. kei ni kitu unique sanaa hasa inayo breed..Maroboti yenu 20 elfu dolari mtajua wenyewe
kama kawaida yako 😂[emoji28][emoji28]
Faida mbona hatupati. Nguo tunafuliwa na house girls au dobi, chakula kizuri siku hizi tunapata migahawani, usafi tunafanyiwa na hata watu wa usafi unatoa tu 20,000 wanasafika kila sehemu nyumba nzima.Poleni kwa hilo ila hata roboti halitakaa lifikie hata theluth ya faida zetu kwenu
Ntakutumia video nakwambia ujionee[emoji23][emoji23]Wewe Kama wewe hununui,labda uazime la kupigia picha tu[emoji16][emoji16][emoji16]nimekaa paleeee[emoji117][emoji117]
MP ipo wanasema unamchaji siku3 mfululizo so siku3 za charging ni kama MPNasikia ni matamu maradufu!!...unagegeda 24/7/365!!no mp's,usaliti,vizinga,kurestishwa in peace yaan ni utamu juu ya uhondo