verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Wewe ni ke/me?Duuh mi nina 20 lkn mbona hivyo vitu havipo kwangu 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ke/me?Duuh mi nina 20 lkn mbona hivyo vitu havipo kwangu 🤔
Ila kizazi hiki, unaweza vipi hata kuwaza menopause za mama zenu jamani?Yote kwa yote ila kuishi na mwanamke anaepitia menopause ni mtihani mkubwa sana
Sasa nyumbani yupo yeye na mama yake,anataka Nani amuoshee vyombo?Kwani amesema awaheshimu ?au wao ndio Wana msakama kila siku na kumfanya ashundwe kujiamini Hadi anambiwa kak mudi kaoshe vyombeee na nk .....
Dr vip ....
Yani nisimulie story ambayo imesimuliwa humu? 😅😅😅Tusimulie
Ndugu yangu ndugu yangu.... nakuita tena Ndugu yangu! Usijaribu kuondoka hapo home kiholela hivyo utajuta sana.Habarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa mtu wakunifokea fokea hadi majirani huwa wanasikia jinsi ninavyofokewa. Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Okay siku na kipingamizi kwasababu hawa ni wazazi wangu hivo ni wajibu kuwasikiliza na sio kwamba siku za nyuma nilikuwa sifanyikazi? Hapana ni kutokana na majukumu ya masomo huku chuoni yananibana sana hivo nakuwa mtu sio wakushinda nyumbani maana mda wote na huku chuoni huwa na baki mpaka saa 3 au nne usiku ndio narudi home. Nafanya hivi ili nikimbie majukumu ya nyumbani ila baadae nahisi wazazi wangu walinishukizia.
Anyway sasa kila nikifanya kazi za hapa nyumba bado maneno yanakuwa mengi mara uwambie urudie kuosha vyombo mara mbili wakati apo vyombo ushaosha na vinan'gaa bila shida , ukitoka hapo mara uwambiwe chooni unaachafua mara hausafishi mara unaingiza mchanga mara uwambiwe uliacha mavi leo asubuhi yaani maneno yanakuwa mengi halafu bimkubwa anaongea kwasauti kubwa hadi majirani wanasikia
Mimi hali hii sipendezwi nayo, naona wazazi wangu kama wameanza kunichoka, hapa nafanya mpango mwisho wa mwezi huu nichomoke hapa home najua mwanzo wa kujitegemea huwa mgumu ila potelea mbali siwezi kuendelea kukaa home huku nikidharirishwa na maneno ya bimkubwa.
Anyway natafuta chumba bei iwe 50k maeneo kuanzia ubungo kibo, kona mpaka kimara korogwe. Kama unaona au unasikia kuna chumba kinapangishwa maeneo hayo anipange sasa. Wakuu #natanguliza shukuran
Degree yenyewe bado hajaipata. Nimemwambia kama ataondoka home, atleast aondoke kwa wema. Akitumia hasira,hatoboi.Comment bora kabisa...dogo anajiona kakua, anadanganywa na kadegree uchwara...aje kitaa sasa maji ataita mmaaa
Habarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa mtu wakunifokea fokea hadi majirani huwa wanasikia jinsi ninavyofokewa. Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Okay siku na kipingamizi kwasababu hawa ni wazazi wangu hivo ni wajibu kuwasikiliza na sio kwamba siku za nyuma nilikuwa sifanyikazi? Hapana ni kutokana na majukumu ya masomo huku chuoni yananibana sana hivo nakuwa mtu sio wakushinda nyumbani maana mda wote na huku chuoni huwa na baki mpaka saa 3 au nne usiku ndio narudi home. Nafanya hivi ili nikimbie majukumu ya nyumbani ila baadae nahisi wazazi wangu walinishukizia.
Anyway sasa kila nikifanya kazi za hapa nyumba bado maneno yanakuwa mengi mara uwambie urudie kuosha vyombo mara mbili wakati apo vyombo ushaosha na vinan'gaa bila shida , ukitoka hapo mara uwambiwe chooni unaachafua mara hausafishi mara unaingiza mchanga mara uwambiwe uliacha mavi leo asubuhi yaani maneno yanakuwa mengi halafu bimkubwa anaongea kwasauti kubwa hadi majirani wanasikia
Mimi hali hii sipendezwi nayo, naona wazazi wangu kama wameanza kunichoka, hapa nafanya mpango mwisho wa mwezi huu nichomoke hapa home najua mwanzo wa kujitegemea huwa mgumu ila potelea mbali siwezi kuendelea kukaa home huku nikidharirishwa na maneno ya bimkubwa.
Anyway natafuta chumba bei iwe 50k maeneo kuanzia ubungo kibo, kona mpaka kimara korogwe. Kama unaona au unasikia kuna chumba kinapangishwa maeneo hayo anipange sasa. Wakuu #natanguliza shukuran
Wewe huja hustle bado,nimesoma historia ya utoto ya Magdalena Sakaya yule dada wa cuf aisee alihustle na alitii hadi akatoboa.Itafute imo humu humu jfDah mimi ndio mkubwa na nina mdogo wangu moja nae ni wakiume ila dogo yupo la pili so me ndio nakuwa house girl na house boy home maana maza washaniifanya niwe hivi ukiwaambia ndugu unaoneka una jeuri kwa wazazi mara umeanza zarau. Basi naamua kukaa nayo moyoni
Sema wewe ndugu,maana Kuna watu wanamjaza ujinga.Ndugu yangu ndugu yangu.... nakuita tena Ndugu yangu! Usijaribu kuondoka hapo home kiholela hivyo utajuta sana.
Ki kawaida hauna shughul ya kukuingia kipato.
Maisha ya kujitegemea sio rahis kama unavyofikiri kuna watu walipanga na wana Kazi zao kbs ila mambo yaliwazidi wakarudi home (Kurudisha Mpira kwa Kipa)
Ni heri utukanwe na Wazazi kuliko na walimwengu..
Unayajua matusi ya FATHER HOUSE wewe?!
Pole kaka, mimi nakushauri uendelee kukaza tu hapo home hadi umalize chuo (ni ngumu lakini komaa).Habarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa mtu wakunifokea fokea hadi majirani huwa wanasikia jinsi ninavyofokewa. Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Okay siku na kipingamizi kwasababu hawa ni wazazi wangu hivo ni wajibu kuwasikiliza na sio kwamba siku za nyuma nilikuwa sifanyikazi? Hapana ni kutokana na majukumu ya masomo huku chuoni yananibana sana hivo nakuwa mtu sio wakushinda nyumbani maana mda wote na huku chuoni huwa na baki mpaka saa 3 au nne usiku ndio narudi home. Nafanya hivi ili nikimbie majukumu ya nyumbani ila baadae nahisi wazazi wangu walinishukizia.
Anyway sasa kila nikifanya kazi za hapa nyumba bado maneno yanakuwa mengi mara uwambie urudie kuosha vyombo mara mbili wakati apo vyombo ushaosha na vinan'gaa bila shida , ukitoka hapo mara uwambiwe chooni unaachafua mara hausafishi mara unaingiza mchanga mara uwambiwe uliacha mavi leo asubuhi yaani maneno yanakuwa mengi halafu bimkubwa anaongea kwasauti kubwa hadi majirani wanasikia
Mimi hali hii sipendezwi nayo, naona wazazi wangu kama wameanza kunichoka, hapa nafanya mpango mwisho wa mwezi huu nichomoke hapa home najua mwanzo wa kujitegemea huwa mgumu ila potelea mbali siwezi kuendelea kukaa home huku nikidharirishwa na maneno ya bimkubwa.
Anyway natafuta chumba bei iwe 50k maeneo kuanzia ubungo kibo, kona mpaka kimara korogwe. Kama unaona au unasikia kuna chumba kinapangishwa maeneo hayo anipange sasa. Wakuu #natanguliza shukuran
Kuhusu huyo jamaaYani nisimulie story ambayo imesimuliwa humu? 😅😅😅
we fight uchomoke tu hapo maskani mkuu.Kabisa mkuu nami ndio hivo nafanyiwa revenge
HakikaUmaskini ndio unasabisha familia isikae pamoja, lakini inavyotakiwa familia ikae pamoja mpaka mtoto akiwa yuko na financial freedom.
Yeye anawaza kodi tu.Sema wewe ndugu,maana Kuna watu wanamjaza ujinga.
Hiyo ni story ya huyo jamaa, aliiweka humu kitambo tu. Sikumbuki jina lakeKuhusu huyo jamaa
SawaHiyo ni story ya huyo jamaa, aliiweka humu kitambo tu. Sikumbuki jina lake
Alikufanyaje brother yako ?Tukiwambia watu Kuna wazazi wanateza watoto wao Wana kataha
Mm mwenyewe nilioyapitia kwa kaka angu siwezi sahaugi nakikumbuka nalia kbsa
Ila SAS nimetuliaa nimekuwa kma adui SAS Sina hamu nae
Pole sana na izi mambo ndiyo huchagiza mtoto kuharibika kisaikolojia.Tukiwambia watu Kuna wazazi wanateza watoto wao Wana kataha
Mm mwenyewe nilioyapitia kwa kaka angu siwezi sahaugi nakikumbuka nalia kbsa
Ila SAS nimetuliaa nimekuwa kma adui SAS Sina hamu nae
Nashukuru sana kakaMkuu pole kwa kumpoteza mama.Let her continue resting in peace.