Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Hii siku hua naisubiri kwa hamu sana, kuna dili ili nlifanikishe napaswa kuwa single man, lakin masaa yanaenda bila kuambiwa hili neno linalokunyima usingizi,
Kwakweli mwenzangu una bahati
 
Hii siku hua naisubiri kwa hamu sana, kuna dili ili nlifanikishe napaswa kuwa single man, lakin masaa yanaenda bila kuambiwa hili neno linalokunyima usingizi,
Kwakweli mwenzangu una bahati
Ahahahahahah.
Mkui sasa si umteme tu kama humtaki?
 
Acha udhaifu Mungu mwenyewe alishasema ndoa itavunjika endapo mmoja wapo atakosa uaminifu
 
Leo huyu mama angekuwa ametokea kwenye kundi la single mother angetukanwa mpaka aombe dunia ipasuke! Sasa huyu aliyeolewa akiwa binti mbona analeta jeuri? Utawasikia waponda single mothers oooh kuoa mke mwenye mtoto ni sawa na sijui na kufanyaje.....? Hata waliokutwa Bikira wanagawa uloda kama njugu, Kazi kweli kweli!
 
Sawa lakini kumbuka sheria inamruhusu kuondoka na walio under 7 years, sijui umejipangaje?
Hakuna tatizo kabisaa. Kuna muda si kila sheria ina apply huku ground. Uhuni na umafia pia una nafas yake mbele ya sheria
 
Acha udhaifu Mungu mwenyewe alishasema ndoa itavunjika endapo mmoja wapo atakosa uaminifu
Hahaha mbona mleta mada hajasema chochote kuhusu kukosa uaminifu? Wewe nani kakwambia kuna hilo la kukosa uaminifu, Rudi kwenye uzi mwanzo mpaka mwisho uniletee aliposema mkewe siyo muaninifu.
 
Kama alichepuka au anatishia uhai wako.
Uamuzi sahihi
 
kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Mwanamke mzinzi na msaliti piga chini Mkuu hakuna kucheka nae,utakuja kufa mapema kwa stress eti kisa watoto. Piga chini hiyo mbuzi usiionee huruma,hapo wazazi watakuja kukulainisha kwa maneno matamu.
 
Yaani uvumilie uzinzi na dharau juu kisa watoto,yaani ufe mapema au kupata stress sasa hao watoto utakuwa na faida nao ipi labda? Acheni kuendekeza ujinga,mwanamke mzinzi dawa yake ni kuachana nae awe na mtoto au lah.
 
💯
 
Mkuu hongera sana,umemaliza kila kitu hapa. Mke unaishi nae wewe so furaha na maumivu unaepata ni wewe so ndugu wala wazazi. Piga chini mke mzinzi then unawapa taarifa,hili swala la vikao ni jau sana.
 
Sure mkuu kwenye suala la kuwapa taarifa ni yeye ndio akajiwah maana nilishamtimua, saa 2 usiku Friday tar 1, huko nje ndio akawapigia simu wazee wangu.
 
Muhimu kama una uwekezaji wowote waandikishe wanao fasta. Kila Chenye thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…