Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Kumvumilia mwanamke mzizi ni ubwege ila iyo kutishia muaachane sio kigezo cha kumuacha mke wanawake wana tabia ya kutingisha kibiriti
 
kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Mahakamani kuprove uzinzi ni kaziiiI!
UNLESS umefumania na una ushahidi usio pasi na shaka!
Lakini kama umeshafika mwisho malizana nae tu!
HAKUNA MTU ANADESERVE KUISHI MAHALI HAYUKO SALAMA!
watu huogopa talaka, yes sio process rahisi familia kuvuka .
ATHARI ZIPO, nyingi tu!
But so is KUISHI KWENYE NDOA NA MTU UMESHAMALIZANA NAYE MOYONI!

Just gor for it Brother.
Haitakuwa rahisi, bali hata kubaki kuishi naye sio rahisi pia kwenu nyote.
 
Haya Maisha uliyoyasimulia hapa tuwachie Wazungu
 
Usimshauri mwenzako kuwa na akili mbovu kama hizi.Ushauri huu ni mbovu zaidi kuwahi kutokea hapa jf.
Uendelee kuishi na Shetani kwa kuogopa matokeo madogo kwa kuvunjika kwa ndoa?
 
Ukisoma ushauri jamii forum hasa wa masuala ya Ndoa usipokuwa makini utaachana na mwenza wako Kwa masuala ambayo mngeweza kuyamaliza mkiwekana chini... Jamani Ndoa si lelemama inahitaji ukomavu wa akili na msamaha endelevuu
 
Ok sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…