The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
😁😁😁😁Kama nakuona ulivyokuwa unaandika huu uzi usiku wa manane.
View attachment 3142239
Anyway kupanga ni kuchagua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁Kama nakuona ulivyokuwa unaandika huu uzi usiku wa manane.
View attachment 3142239
Anyway kupanga ni kuchagua
Wewe unatakiwa utupe story nzima tujue namna ya kushauriana na wewekesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Kumvumilia mwanamke mzizi ni ubwege ila iyo kutishia muaachane sio kigezo cha kumuacha mke wanawake wana tabia ya kutingisha kibiritiHakuna uvumilivu kwa mwanamke mzinzi, utaonekana bwege, na mwanamke akifika hatua anakuambia bora muachane tena mke wako, lazima utafakari anasemaje muachane amewawaza watoto? ikifika hatua hiyo jua mwanamke sio wa kwako hisia zimehamia sehemu nyingine
Mahakamani kuprove uzinzi ni kaziiiI!kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Aisee,Hakuna wala hiking Kaka, simple!
ushilawadu umeanza lini Oddo?Mbona hizo top secret hujasimulia?Sijapenda
Hayo ni mawazo yako Mzee wanguSasa huo nao ni ujanja, siku moja yatakurudia mwenyewe
Haya Maisha uliyoyasimulia hapa tuwachie WazunguMasikhala siyo mazuri hasa kwenye ndoa. Najua unataka ku prove kwamba unaweza, lakini ita ku cost sana. Najua unataka kumonyesha kwamba unaweza kuliko anavyokuchukulia lakini itawa cost sana.
Ndoa ni kitu kingine, hivyo mnapaswa kuilinda kama mboni za macho yenu.
All this ni utoto nakwambia, hata kama wewe ni mtu mzima. Kabla hamjaachana mnapaswa kukaa na muongee maisha baada ya kuachana ,kabla hamjaachana. Hapo ni pagumu sana. Unaweza kudhani ni rahisi lakini siyo rahisi hata kidogo.
Nyie mnaweza hata msilale pamoja lakini mkawa mnaishi nyumba moja ni tofauti na kuachana. Tena mna watoto hata kama ni wakubwa inasumbua sanaa akili.
Kakae ufikiri upya, Uvumilivu kwenye ndoa siyo ujinga.
Usimshauri mwenzako kuwa na akili mbovu kama hizi.Ushauri huu ni mbovu zaidi kuwahi kutokea hapa jf.Masikhala siyo mazuri hasa kwenye ndoa. Najua unataka ku prove kwamba unaweza, lakini ita ku cost sana. Najua unataka kumonyesha kwamba unaweza kuliko anavyokuchukulia lakini itawa cost sana.
Ndoa ni kitu kingine, hivyo mnapaswa kuilinda kama mboni za macho yenu.
All this ni utoto nakwambia, hata kama wewe ni mtu mzima. Kabla hamjaachana mnapaswa kukaa na muongee maisha baada ya kuachana ,kabla hamjaachana. Hapo ni pagumu sana. Unaweza kudhani ni rahisi lakini siyo rahisi hata kidogo.
Nyie mnaweza hata msilale pamoja lakini mkawa mnaishi nyumba moja ni tofauti na kuachana. Tena mna watoto hata kama ni wakubwa inasumbua sanaa akili.
Kakae ufikiri upya, Uvumilivu kwenye ndoa siyo ujinga.
Bwana wee mwanangu mambo kama haya raha yake amwage yale ya ndani kabisaa😅Mbona hizo top secret hujasimulia?Sijapenda
Nimepigia lamination.Ukisoma ushauri jamii forum hasa wa masuala ya Ndoa usipokuwa makini utaachana na mwenza wako Kwa masuala ambayo mngeweza kuyamaliza mkiwekana chini... Jamani Ndoa si lelemama inahitaji ukomavu wa akili na msamaha endelevuu
nitaacha mkuu ngoja nihame kwa shemejiHapo kwenye kupiga nyeto, ni ushauri wa kipumbavu sana ,acha ufala
Ok sawaShe was soo much disturbed, na halikua swali la mara moja au 2 au 3. So hakuwah kuweza kunijibu zaod ya kusema "sasa haya ni maswali gani au nikueleweje?"
Ni mpaka mama alipokuja na picha zangu ambazo sikuwah kuzijua. Alipoziweka mezani aahh sikuuliza mara 2
Pamoja kamandaKila lakher mkuu kama mwanaume nakuelewa kabisa