Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Hakuna uvumilivu kwa mwanamke mzinzi, utaonekana bwege, na mwanamke akifika hatua anakuambia bora muachane tena mke wako, lazima utafakari anasemaje muachane amewawaza watoto? ikifika hatua hiyo jua mwanamke sio wa kwako hisia zimehamia sehemu nyingine
Kumvumilia mwanamke mzizi ni ubwege ila iyo kutishia muaachane sio kigezo cha kumuacha mke wanawake wana tabia ya kutingisha kibiriti
 
kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Mahakamani kuprove uzinzi ni kaziiiI!
UNLESS umefumania na una ushahidi usio pasi na shaka!
Lakini kama umeshafika mwisho malizana nae tu!
HAKUNA MTU ANADESERVE KUISHI MAHALI HAYUKO SALAMA!
watu huogopa talaka, yes sio process rahisi familia kuvuka .
ATHARI ZIPO, nyingi tu!
But so is KUISHI KWENYE NDOA NA MTU UMESHAMALIZANA NAYE MOYONI!

Just gor for it Brother.
Haitakuwa rahisi, bali hata kubaki kuishi naye sio rahisi pia kwenu nyote.
 
Masikhala siyo mazuri hasa kwenye ndoa. Najua unataka ku prove kwamba unaweza, lakini ita ku cost sana. Najua unataka kumonyesha kwamba unaweza kuliko anavyokuchukulia lakini itawa cost sana.

Ndoa ni kitu kingine, hivyo mnapaswa kuilinda kama mboni za macho yenu.

All this ni utoto nakwambia, hata kama wewe ni mtu mzima. Kabla hamjaachana mnapaswa kukaa na muongee maisha baada ya kuachana ,kabla hamjaachana. Hapo ni pagumu sana. Unaweza kudhani ni rahisi lakini siyo rahisi hata kidogo.

Nyie mnaweza hata msilale pamoja lakini mkawa mnaishi nyumba moja ni tofauti na kuachana. Tena mna watoto hata kama ni wakubwa inasumbua sanaa akili.

Kakae ufikiri upya, Uvumilivu kwenye ndoa siyo ujinga.
Haya Maisha uliyoyasimulia hapa tuwachie Wazungu
 
Usimshauri mwenzako kuwa na akili mbovu kama hizi.Ushauri huu ni mbovu zaidi kuwahi kutokea hapa jf.
Uendelee kuishi na Shetani kwa kuogopa matokeo madogo kwa kuvunjika kwa ndoa?
 
Ukisoma ushauri jamii forum hasa wa masuala ya Ndoa usipokuwa makini utaachana na mwenza wako Kwa masuala ambayo mngeweza kuyamaliza mkiwekana chini... Jamani Ndoa si lelemama inahitaji ukomavu wa akili na msamaha endelevuu
 
She was soo much disturbed, na halikua swali la mara moja au 2 au 3. So hakuwah kuweza kunijibu zaod ya kusema "sasa haya ni maswali gani au nikueleweje?"
Ni mpaka mama alipokuja na picha zangu ambazo sikuwah kuzijua. Alipoziweka mezani aahh sikuuliza mara 2
Ok sawa
 
Back
Top Bottom