Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Huyo demu hakuna kitu kwao hawakijui ulikuwa kama katuni wa vichekesho.

Alafu kwa maelezo yako ni kama unapenda kuwa mr innocent so mkeo anajua vizuri udhaifu wako na anautumia nakuhakikishia humuwezi mkeo wewe ni bwege hata wewe unajua ilo you're not man enough
 
Matokeo ya kutongozwa na kutongoza ukiwa kwenye ndoa
 
Sasa kama ndoa haina muelekeo chanya kwa wenye ndoa waiilinde ili iweje?
 
Nakazia hapa anataka kuonyesha uanaume nimsihi asitengane na mwenzake,hii post imenihuzunisha sana
I hate divorce
 
Pole kiongozi, ombea sana ndoa Yako maana Shetani kaamua kuisambaratisha.
 
Kiongozi Kwa mtu asioa anaweza asikuelewe kabisa hili unalolisema hapa.

Ila mi nakuelewa kabisa, uamizi ni wako na unachoona sahihi Kiko kwako.

Kuna wakati wanawake wakishafika hatua flani wanafikiri hawawez kufanywa chchte na wazo lao nikuhakikisha unakuwa chini yao.

Hakuna haja ya kucheka na Hawa viumbe watatumaliza.

Kwenye maisha kama huna uwezo wakufanya maamuzi magum jihesabie kuwa wakawaida saana

Kuna wakati lazima tujifunze kufanya maamuzi magum hata kama yanatuumiza.
 
Ni kweli, nimekua makini kwa muda mrefu sana na hata sasa suala hili nimefanya to the best of my can kuli contain lisilete madhara, japo mengine naamini hayazuilika
Hata hivyo mkuu, wewe una tolerance ya hali ya juu sana...kwangu mimi wife hawezi thubutu kunitishia jambo kama hilo mara 2 akawa salama...lkn muhimu, kama umeamua mbwai na iwe mbwai then hakuna sbb ya kumfichia hata chembe ya udhaifu wake kwa ndugu zake, lazima awe exposed, coz i'm quite sure she's been going arround playing innocent huku akiyahubiri madhaifu yako.
 
Pole sana Ndugu yangu. Mungu akutie nguvu.

Sisi Wanaume tunaopenda Familia Wanawake wanatutesa sana.

Mwanaume anayejielewa ni mwoga sana wa kutelekeza watoto na hapo ndipo Wanawake wakorofi wanapochukulia Advantage.

Hata hivyo inaonekana wewe huyo Mwanamke ulipewa na familia.
Na hili liwe funzo kwa wanaume wote ambao hamjaoa.

Acha kuo mwanamke wa familia.
 
kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Umevumilia sana aisee unawezajw kukaa na mwanamke mzinzi?

Mimi sio mpaka nione ushahidi.
Hata kama sijamkamata nikipata hisia tu au hata ndoto kwamba mke wangu anapigwa nje basi ndio mwisho wake.

Sitakiwi kupata hata hisia au wasi wasi hilo ni kosa kwake. Why should i doubt about her? These are crual questions.
 
POLE SANA MWAMBA NDOA NYINGI SIKU HIZI ZIMEJAA VILAKA VYA KUTOSHA JAPO WENGI HAWATOKI HADHARANI KUSEMA YANAYOWASIBU KTK NDOA ZAO WANAWAKE WA SIKU HIZI WAMEJAA VIBURI MADHARAU KWA KISINGIZIO CHA KUTAMBUA HAKI ZAO HATA MIMI KUNA MTU HAPA ANANICHEZEA AKILI ZANGU USIMKOSOE KIDOGO TU UNAMSIKIA TUACHANE MPANGO WANGU NIMESHAANZA MCHAKATO WA KUJENGA MKOA MWINGINE NAKUHAMISHIA HARAKATI ZANGU HUKO ZIKIKAA SAWA TU NAONDOKA KAMA MSHALE NAACHA KILA KITU SITAKI MSONGO WA MAWAZO MAISHA YENYEWE MAFUPI HAYA🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cha maana usijiue tu, tafuta ushauri kama hivi
 
Move on Broo !! She has been cooking something for sometimes !! Her senses will revert back when she's going to realize that things aren't going the way she was expecting !! For the time being, she's totally BLINDED !!
By the way, under whatver circumstances make sure you take CARE of the KIDS for their own good in future !!
 
Usimfukuze mpumuzishe yapo atakayo jifunza akiwa mapumzikoni na hats wewe yapo utakayo jifunza ukiwa peke yako hapo home

Pia acha kumchunguza utaishia kuumia tu

Acha kutafuta shahidi za kumdhalilisha pia utakuwa unaji dhalilisha mwenyewe
Kwani huyo nimkeo
 
Mkuu unakimbia Nyumba? Watoto je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…