Inawezekana hataki kuachwa na anakupenda sana tu ni mawenge yake tu maana huwa wana mawenge na moods.Shukrani. Ni kwel kabisaa.
Sasa imagine mwanamke analeta hiz mbanga she is 36 years old with 4 kids.
Anyway sisemi kwamba hana soko, i dont mean that. Nawaza kwann asingefanya mapema???
TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.
Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.
Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".
Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.
Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.
Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.
Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.
So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.
Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.
Mungu awabariki
"Maranatha".
Natafuta Ajira Jadda Liverpool VPNMambo mengine siomasikhara wana maanisha. Kaka yangu na jirani yangu wa upareni tumemzika mwezi wa sita kwa ajili ya kuupuuza haya mambo.
Kila wakati wakigombana na mkewe anamwambia kama vipi tuachane kila mtu achukue chake. Mke kamuakea sumu kwenye chakula jamaa bila kujua. Kula chakula baada ya muda kidogo puvu linamtoka na anatapatapa. Ndugu zake yalivyokuwa wanampeleka hospital neno la mwisho ni mke wangu kaniua.
Kasome matendo ya mitume 4:13TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.
Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.
Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".
Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.
Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.
Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.
Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.
So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.
Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.
Mungu awabariki
"Maranatha".
Aisee ngoja tuendelee kukataa ndoaUna uhakika hao watoto wote ni wake hadi abaki nao!? Siku akitoa talaka ndiyo atajua wa kwake ni yupi kati ya hao walio wake!!
Hakuna 'classified info' hapo, ni obvious kuwa unasaidiwa against your will. Na hilo ndo hufanya wake za watu kujisahau sana na kutenda kama huyo wako.sasa sitaknkwenda deep maana inaonyesha unataka nikupe classified details 🤣🤣
Mwanamke akimuwekea mumewe sumu kwenye chakula anaonekana shetani, ila mwanaume akimcharanga mkewe mapanga au kumchoma na magunia ya mkaa aahh ni haki yake, na bado yani mpaka muelewe somo kuwa wanawake washachoka na wameamua liwalo na liwe
Because anafikiri at that age na hao watoto you wont dare kuchukua maamuzi hayo, kuna kitu au mtu anampa kiburi. This time akibip akute mabegi nje kabisaShukrani. Ni kwel kabisaa.
Sasa imagine mwanamke analeta hiz mbanga she is 36 years old with 4 kids.
Anyway sisemi kwamba hana soko, i dont mean that. Nawaza kwann asingefanya mapema???
Kumbuka wana muda mrefu 11 years ya ndoa! Na jamaa kavumilia mengi! Mwisho wa siku mtu adondoke ghafla kisa ndoa na watoto! Good Enough wazazi wapo.Masikhala siyo mazuri hasa kwenye ndoa. Najua unataka ku prove kwamba unaweza, lakini ita ku cost sana. Najua unataka kumonyesha kwamba unaweza kuliko anavyokuchukulia lakini itawa cost sana.
Ndoa ni kitu kingine, hivyo mnapaswa kuilinda kama mboni za macho yenu.
All this ni utoto nakwambia, hata kama wewe ni mtu mzima. Kabla hamjaachana mnapaswa kukaa na muongee maisha baada ya kuachana ,kabla hamjaachana. Hapo ni pagumu sana. Unaweza kudhani ni rahisi lakini siyo rahisi hata kidogo.
Nyie mnaweza hata msilale pamoja lakini mkawa mnaishi nyumba moja ni tofauti na kuachana. Tena mna watoto hata kama ni wakubwa inasumbua sanaa akili.
Kakae ufikiri upya, Uvumilivu kwenye ndoa siyo ujinga.
Basi na mjadala ufungwe, chanzo cha tatizo kisha julikana,' WALOKOLE"Huyu wangu mimi ni wale WALOKOLE.
Tunaishi kama vile hatuna wazazi, watoto, imani/dini....we simply don't care. Lakini tuanze na wewe, kuna mlango ulishaufungua labda so kama vile anafanya malipizi maybe? Maana hapa hatujamsikiliza yeye, THOUGH nothing validates uzinzi na uasherati. Kwa sababu sidhani kama mwenza wako akila mavi na wewe utakula, akijinyea na wewe utajinyea ili ulipize. So, maybe in the past kuna ngoma ulimchezesha so saivi ndo kama analipa labda?Ahahaha kwanini mkuu.?
Inatosha mkuu, achana nae. Wanawake huwa wana tamaa za kijinga, baadhi yao wanadanganyika kwa mambo ya kipuuzi tu. Niliwahi kuwa na mwanamke kama wako, alikuwa ananipiga matukio ya kutosha ila nikawa namsamehe na kumvumilia, akajenga mazoea kwamba ananiweza, mimi ni mtu mmoja mvumilivu haswa ktk mahusiano.kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back