Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Popote penye anguko kubwa la mwanaume aliyesimama nyuma kuna mwanamke. Kuwa makini sana na hiko kiumbe, kinaweza kukufanya uje uishi maisha ambayo hukutegemea.
 
Baba au mama ana mpaka wake katika katika maamzi yangu.
Mkuu wanatishia kutoa laana. Yaani hilo neno ndio msamiati mkuu wa wazee wetu, wao sijui wanafaidika na nini wakiona mtoto wao amelaanika na isitoshe wao ndio wanakuwa wamefeli.
Eti wanata ku dictate mpaka mtu wa miaka 50. Wanasahau ukiisha ondoka nyumbani kinachofuata ni wewe kuogelea kwenye hii dunia kadri unavyoweza , kazi iliobaki kwao ni kushauri sio kulazimisha matakwa yao kwako.
Wazazi wengi ndoa zao ziliwashinda ila sasa wanataka eti watoto wawe/waishi kama malaika, kitu ambacho duniani hakipo.
Nilichojifunza mimi ndoa ni drama hapa duniani ila nyma ya pazia ni unafiki uliopitiliza.
Mimi mtazamo wangu kwa sasa bora zije ndoa za mkataba kama wenzetu hizi ndoa za dini sijui za kuishi milele ni uongo mtupu,.
Kwa hio ndugu yangu kuwa makini sana na hawa wazazi wa kiafrika, wao wanataka ushindi mbele ya walimwengu. Waafrika tunaishi kwa kutazama walimwengu watanionaje,tunaishi kwa kuwahadaa walimwengu.
 
Upo sahihi kabisa mkuu 100% wazee wetu laana ndo Kinga Yao kubwa.

Kwanza kubali ukatae mtu hulaanika pale alipokesea Tena kosa kubwa bila kujutia na kuomba msamaha hapo Sasa unaweza kulaanika.

Nje na hapo watasema maneno yote Bado utaendelea kudunda tu. Cha msingi uwe umesimamia kweli.

Sasa Kwa picha ndoa ya mleta Uzi ni wazi mke wake hataki ndoa hivyo kama Kuna Mali nyingi jamaa atakufa muda sio mrefu! Ama atarogwa awe zezeta tu.

Mwenye maamzi ni yeye mwenyewe anyone au asuke basi.yeye ndo anajua moto ulivyo ndani ya ndoa yake!!

Kwanza Mimi mzazi siwezi msubiria Bora kama wife katorokea kwetu ndo anaweza enda kuwasikiliza.
 
TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.

Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.

Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".

Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.

Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.

Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.

Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.

So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.

Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.

Mungu awabariki
"Maranatha".
Polee Sana Kijana..
Mungu akutie Nguvu
 
Mke wangu hawezi kunambia tuachane halafu nisubirie kikao cha kuachana, kikao cha kuachana kinafanyika mkiwa mmesha achana, ndoa ni ya watu wawili ndoa sio familia, mke na mume wote wanatakiwa waitake ndoa, mmoja wapo akionyesha nia ya kuondoka afunguliwe mlango bora shari kamili kuliko nusu shari.
Ndoa ni ya wengi mkuu ila kuishi ni wawili. Wale waliokuja kushuhudia ndoa wote ni wapambe wa ndoa. Ndio maana mkioaona nfoa kiserikali mnakuwa wanne ila wazazi wana mind kwa sababu hio ndoa inakuwa haiwahusu kivile.
Mie nimejifunza jambo na ningejua nisingefuata mfumo wa dini ningeoa kiserikali. Ukitaka kuachana hamtakuwa na mashahidi weengi wa kuthibitisha kuachana.
Ni hivi ulivyowaita watu kwenye harusi kushuhudia kuoaana inatakiwa washuhudie kuachana, sasa unadhani ni jambo rahisi ? Walioona kimya kimya hawapitii hali ngumu ya msongo wa mawazo kama walioana harusi kubwa pindi wanapotaka kuachana.
 
Aisee pole Sana mkuu kwa kipindi kigumu unachopitia kwa Sasa.
Iteni kikao mtafute suluhisho la kudumu
 
Shukrani. Ni kwel kabisaa.
Sasa imagine mwanamke analeta hiz mbanga she is 36 years old with 4 kids.
Anyway sisemi kwamba hana soko, i dont mean that. Nawaza kwann asingefanya mapema???
Pole mkuu. But is there any reason ? Au amedanganywa au ni kisirani tu. Je uliwahi ku-mcheat ? Huwezi kumpa nafasi ya pili ?
 
Tupate burudani kidogo toka kwa mwanadada MILEY CYRUS
Some songs

*WRECKING BALL
*WE CAN'T STOP
*SEE YOU AGAIN
*DON'T CALL ME ANGEL
*DON'T DREAM IT'S OVER
*Edge of midnight
*ADORE YOU
*WHO OWN MY HEART
 
TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.

Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.

Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".

Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.

Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.

Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.

Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.

So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.

Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.

Mungu awabariki
"Maranatha".
Ushauri wangu ni kwamba Linda hiyo ndoa isivunjike kwa ajili ya watoto.

Wewe Cha kufanya ni badilisha mazingira au mkoa na anza maisha upya, kama unaishi Dar, nenda kaishi Mwanza. Kama upo mwanza, hamia Dodoma na anzisha maisha mapya.

Process ya kuvunja ndoa ni ngumu mno, itakuchukulia muda, akili, tension, pesa e.t.c.

Hivyo vitu ungeviwekeza katika kuanzisha maisha mapya, ungetoboa na kuwa na maisha mazuri.

Kumbuka mwanamke akikwambia tuachane, tiyari ana mbadala wako.
 
Ndoa ni ya wengi mkuu ila kuishi ni wawili. Wale waliokuja kushuhudia ndoa wote ni wapambe wa ndoa. Ndio maana mkioaona nfoa kiserikali mnakuwa wanne ila wazazi wana mind kwa sababu hio ndoa inakuwa haiwahusu kivile.
Mie nimejifunza jambo na ningejua nisingefuata mfumo wa dini ningeoa kiserikali. Ukitaka kuachana hamtakuwa na mashahidi weengi wa kuthibitisha kuachana.
Ni hivi ulivyowaita watu kwenye harusi kushuhudia kuoaana inatakiwa washuhudie kuachana, sasa unadhani ni jambo rahisi ? Walioona kimya kimya hawapitii hali ngumu ya msongo wa mawazo kama walioana harusi kubwa pindi wanapotaka kuachana.
inawezakana ulichokisema kikawa na ukweli sababu mimi mkristo ambaye nilisali utotoni, nikaoa muislam ndoa ya serikali na mashahidi wawili labda ndo maana naona mambo ni rahisi.
 
TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.

Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.

Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".

Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.

Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.

Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.

Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.

So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.

Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.

Mungu awabariki
"Maranatha".

Njoo DM nikupe mwongozo, hatuchukuagi hatua ndo tutafute ushahidi, tunakuwa na ushahidi,

Radisha mke, then umlie timing, umekurupuka!
 
Huwa inakuaje? Mnaoana mkiwa hamjuani au hampendani??

Mbaya zaidi hizi ni zile ndoa zenu mnazofanya harusi kuubwa na mbwembwe nyingi kuwachoma maex wenu.

Kuna demu wangu aliolewa, ni miaka mitatu tu sasa ndoa imekua ndoano, mwingine hata mwaka haukuisha wakawa wanaishi na mimewe kama kaka na dada waliofatana.

Shida ni nini nyie watu au huwa mnaoa wake za watu??
Exactly 💯
Ukiona hivo jua umeoa mke wa mtu
Huyo sio mkeo
Kama sio bikra huyo ni mke wa mtu
 
Pole mkuu, lakini hongera pia kwa kuweza kuishi na mwanamke kwa takribani miaka 15, mimi niliwahi kuishi na manzi mwezi mmoja tu ila nilichoka, ilifika hatua hata akiniuliza leo utakula nini nilikuwa nahisi kama ananipigia makelele tu, hapo ndio nikajua suala la ndoa sio la kila mtu
 
Ni kitu ambacho nimekua nikikiwaza kama ambavyo mwanaume yeyote angewaza...sasa sitaknkwenda deep maana inaonyesha unataka nikupe classified details 🤣🤣
Ila si unajua waswahil wanasema ukiona swala juu ya mti jua kapandishwa?
Ukitaka kuleta hoja lete maelezo kamili. Kama umezungumzia kua una files, basi ungesema na substance yake, hupaswi kwenda kwenye details, ila unaweza sema anawasiliana na huyu au yule au ana kajaa huko just in short. Hii itasaidia watu wakushauri vizuri, kwani kwa sasa hatujui ushahidi wako ni nini. Ungekuwa smart vizuri ungeomba kwanza huo ushahidi kutoka kwa juyo jamaa yako kabla ya kuchukua hatua ya kumtimua.
 
Toka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hizi siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.

Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.

Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".

Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.

Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.

Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.

Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.

So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.

Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.

Mungu awabariki
"Maranatha".
Kuanza upya sio ujinga
 
Mkuu,
Pole sana, hili ni gumu kwa yoyote, hakuna mbabe wa mahusiano hasa mlioingia kwa ndoa na watoto tayari.

Natamani kujua, ulivyomrushia nguo zake aondoke, je reaction yake ilikuwaje? Aliondoka au aling'ang'ania kubaki? Ana kipato chake binafsi, kwamba anajiweza hata usipokuwepo?
 
Back
Top Bottom