Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Ukatili wowote kwa yoyote haukubaliki. Why umuwekee mtu sumu, si uondoke tu.
Ofcourse ukatili wa aina yoyote kwa yeyote haukubaliki, ila shida inakuja pale mtu anapotetea ukatili wa aina moja na kuufanya uonekane halali, ndipo wengine wanaamua kumaliza alipoanzia
 
Toka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hizi siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.

Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.

Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".

Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.

Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.

Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.

Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.

So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.

Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.

Mungu awabariki
"Maranatha".
Siyo kwamba unamvumilia bali yeye ndo anakuvumilia kifupi hupendwi kuna mwamba anaeleweka vyema zaidi yako
 
Doh
Tayari credit imeenda kwa #katasndoa

Pole Sanamkuu
 
Suala la kuweka watu pamoja waliozaliwa sehemu/jamii tofauti, jinsia tofauti na kulelewa kwa misingi tofauti si jepesi. Kwani hii huhitaji kuunganisha/ku-merge kati ya mnayofanana, mnayotofautiana vs mnayoyapenda vs msiyoyapenda nk.

Kwenye safari husika ya kuishi pamoja bado tunaendelea kupata mapokeo mapya ya kuishi duniani kwa kunyumbulika ndani ya sababu/factors tajwa kule juu(maana yake hatuna ukamilifu bado tuko dynamic).

Tukitambua kutokuwa wakamilifu, bado kwa kutambua hilo tunastahili kujengana kwa kuwezeshana yale yaliyotuweka pamoja yaendelee kuwa juu ya yale hasi.

Kuna sehemu mijadala yetu hukwamishwa na nini kilichoshibisha mioyo yetu/hesabia, makosa/kuhukumu vs furaha ni kiasi gani kati yetu. Hatuwezi kuwa na mjadala chanya kama ndani yetu tumehesabu na kubebelea makosa na hukumu.

Mfano:
Hapa tayari tuna taarifa ya upande mmoja ambao umeshamhukumu mwenzake juu ya mwenendo wa maisha. Hii inaweza kutoa picha ni kwa jinsi gani hata kwenye majadiliano ya kawaida kati ya wahusika nini huendelea. Je tunaweza kukaa pamoja na kujadili mambo na si mtu?

Haya yanayotolewa taarifa hatujui upande wa pili husukumwa na nini mpaka kuyafanya au kuyasema. Wakati mwingine sisi wenyewe twaweza kuwa chanzo cha matokeo ya tabia au vitendo vya mtu leo au kesho, ila tunabaki kuhukumu tu. Wengine tunawasababishia hata mvurugiko wa afya ya akili.

Suala la nini kifanyike ni tathmini huru na ya kina ya ni kwa kiasi gani umesababisha au umezuia(kuwajibika) kusababisha mwenzako kufikia alipo? Kukwazana kwaweza kuwa kwenye misingi miwili kwa kufanya au kutokutimiza(commission vs omission errors).
Umemsaidiaje(kuwajibika) kumrejesha toka alipo baada ya haya badala ya hukumu??

Wakati mwingine haya mahusiano tunaona unachofanya ni kidogo, lakini kwa mwenzako inafikia kuharibu afya yake ya akili. Tunawajibikaje na kwa kiasi gani kwa hayo yetu?

Nimalizie kwa kusema, kama mliingia kwenye mahusiano mkiwa na akili timamu na leo mmefika hapo, kila mmoja ajitafakari amefikaje hapo alipo na amemfikishaje mwemzake hapo alipo.

Maamzi ya kutengana au kuishi pamoja yako mikononi mwenu na yatokane na nyinyi kukaa pamoja na kukubali ukweli kati yenu na kila mmoja alivyochangia kwa njia hasi au chanya mpaka hapo mlipo na yanayowasibu.

Mwisho mseme wahusika wenyewe, hapa sababu zetu ni hizi na hatuwezi kuishi pamoja kwa sababu hizi ingawa tumejitahidi kufanya vile au tunaweza kuishi pamoja kwa sababu hizi pamoja na haya makandokando yetu ila tufanye hili ili iwe vile.

Tusisukumwe na ubinafsi na kutokujielewa vyema kufanya maamzi mazito ya maisha yetu, tujitambue vyema kwanza na kujadili hoja zetu zaidi na kuzitafutia mwafaka tukiwa huru kimawazo na mtizamo. Let's modulate our life.
 
Huyo mwanamke hastahili kabisa mkuu usimpe nafasi nyingine tena...!!
LET HER GO.....!!

🔵Muonyeshe kwamba unaweza kuishi bila yeye..

🟤Huenda amegundua unahofu ya kumpoteza labda kupitia kauli zako mwenyewe za kumbembeleza ndio ana take advantage...

🟡Usionyeshe hofu yeyote ya kumpoteza japokua ilibidi umuonyeshe hivi toka zamani but don't regret .....

🔵Women are Emotional, Men are logical, Stay logical Man....

🟡Muache aende kwa sasa, Hata kama ikionekana shida ipo kwako, Mwambie akapumzike akupe mwaka ubadilike...

🟤Ukirudi tena hapa ukasema mmerudiana, Nitakutafuta mkuu kwa namna yeyote ile ..
😡😡!!
 
Attachments

  • Real strength is control. Master your emotions, discipline your mind. #alanrickman #severuss...mp4
    691.9 KB
Masikhala siyo mazuri hasa kwenye ndoa. Najua unataka ku prove kwamba unaweza, lakini ita ku cost sana. Najua unataka kumonyesha kwamba unaweza kuliko anavyokuchukulia lakini itawa cost sana.

Ndoa ni kitu kingine, hivyo mnapaswa kuilinda kama mboni za macho yenu.

All this ni utoto nakwambia, hata kama wewe ni mtu mzima. Kabla hamjaachana mnapaswa kukaa na muongee maisha baada ya kuachana ,kabla hamjaachana. Hapo ni pagumu sana. Unaweza kudhani ni rahisi lakini siyo rahisi hata kidogo.

Nyie mnaweza hata msilale pamoja lakini mkawa mnaishi nyumba moja ni tofauti na kuachana. Tena mna watoto hata kama ni wakubwa inasumbua sanaa akili.

Kakae ufikiri upya, Uvumilivu kwenye ndoa siyo ujinga.
Ndoa Aiharibu Mke Kuvumilia Avumilie Mume Unachekesha mkuu
 
Tunaishi kama vile hatuna wazazi, watoto, imani/dini....we simply don't care. Lakini tuanze na wewe, kuna mlango ulishaufungua labda so kama vile anafanya malipizi maybe? Maana hapa hatujamsikiliza yeye, THOUGH nothing validates uzinzi na uasherati. Kwa sababu sidhani kama mwenza wako akila mavi na wewe utakula, akijinyea na wewe utajinyea ili ulipize. So, maybe in the past kuna ngoma ulimchezesha so saivi ndo kama analipa labda?
Ndo akawape wanaume wenzangu? Si bora tuachane tu
 
Back
Top Bottom