Naona Yanga wameshavamia official pages za Al Hilal

Yanga anaanzia ugenini ambako hawezi kushinda iko wazi yaani atapoteza...ILA AKIRUDI KWA MKAPA ANAWEZA KUSHINDA CHA KUFANYA AJITAHIDI SAANA ATOKE NA GOLI HATA MOJA PALE SUDAN LITAMSAIDIA AKIJA KWA MKAPA
Yaani unafikiri kuanzia ugenini anapanga Manara? Hata st George angepita mngeanzia nyumbani mkamalizie ugenini, level yenu ni ya chini sana mkuu,
 
Unajua Yanga hajapoteza mechi ya kimashindano Kwa mda mrefu sana na haijulikani lini atapoteza, kisaikolojia Mashabiki wengi wa Simba wanajua timu waliyonayo Haina uwezo wa kuifunga Yanga Sasa wanajaribu kutafuta timu ambayo itaifunga Yanga Ili nyoyo zao zipoe.
Wana bahati mbaya kwakua Yanga imejiandaa vizuri na haitakua rahisi kupoteza mchezo hivi karibuni.

😀😀😀 Sasa kama hamjafungwa kwa muda mrefu sn Ilikuwaje mkatolewa michuano ya CAF Last season!?? au CAF waliwaonea wivu wakakata jina lenu!??
 
Kipigo cha "nje ndani" na River united mkuu umesahau? sema Yanga hawajapoteza mechi kwenye ligi - Tanzania bara.
we jamaa ukisoma ulaya unarudishwa bongo fasta maana mi nimesoma kule hairuhusiwi kukariri we ungedisco!

Hivi Yanga hii na Kisinda katua wangeiweza kweli hao Riva Divaided?

mmebaki na hilo hilo la River tu!

mwaka huu msipokufa kwa presha mi nahamia Makolo.

Simba Timu mbovu promo kubwa mno makelele tupu mnaboa Makolo mmeniharibia wanangu wote Simba nimelazimika kuwanunulia wanangu mijezi yenu ya rangi za shetani!!
 
Unajua Yanga hajapoteza mechi ya kimashindano Kwa mda mrefu sana na haijulikani lini atapoteza, kisaikolojia Mashabiki wengi wa Simba wanajua timu waliyonayo Haina uwezo wa kuifunga Yanga Sasa wanajaribu kutafuta timu ambayo itaifunga Yanga Ili nyoyo zao zipoe.
Wana bahati mbaya kwakua Yanga imejiandaa vizuri na haitakua rahisi kupoteza mchezo hivi karibuni.
Ile rivers United fc haikuwa mechi ya mashindano.?
Utopollo fc anapigwa kama mgoma kwenye CAF.
 
Mbona mara ya mwisho uto kupoteza kimataifa ni mwaka jana mwezi kama huu wa tisa mlibondwa dar 2 lagos na rivers united au ndugu zetu mmesahau?
 
Ile rivers United fc haikuwa mechi ya mashindano.?
Utopollo fc anapigwa kama mgoma kwenye CAF.
Na kuna makima wenzake wamelike
 
Attachments

  • 25B8F9F0-552B-4333-8CBA-D1BD5B883B82.jpeg
    25B8F9F0-552B-4333-8CBA-D1BD5B883B82.jpeg
    22.3 KB · Views: 7
we jamaa ukisoma ulaya unarudishwa bongo fasta maana mi nimesoma kule hairuhusiwi kukariri we ungedisco!

Hivi Yanga hii na Kisinda katua wangeiweza kweli hao Riva Divaided?

mmebaki na hilo hilo la River tu!

mwaka huu msipokufa kwa presha mi nahamia Makolo.

Simba Timu mbovu promo kubwa mno makelele tupu mnaboa Makolo mmeniharibia wanangu wote Simba nimelazimika kuwanunulia wanangu mijezi yenu ya rangi za shetani!!

Kwaiyo mnamtegemea kisinda??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga anaanzia
Yanga anaanzia ugenini ambako hawezi kushinda iko wazi yaani atapoteza...ILA AKIRUDI KWA MKAPA ANAWEZA KUSHINDA CHA KUFANYA AJITAHIDI SAANA ATOKE NA GOLI HATA MOJA PALE SUDAN LITAMSAIDIA AKIJA KWA MKAPA
kwa mkapa bro, Timu kubwa ndio zinaazia ugenini
 
Yanga anaanzia ugenini ambako hawezi kushinda iko wazi yaani atapoteza...ILA AKIRUDI KWA MKAPA ANAWEZA KUSHINDA CHA KUFANYA AJITAHIDI SAANA ATOKE NA GOLI HATA MOJA PALE SUDAN LITAMSAIDIA AKIJA KWA MKAPA
Yanga yupo chini ya Al Hilal kwenye viwango vya Caf hivyo hawezi kuanzia away
Yanga wataanzia kwa mkapa na kumalizia away (Sudan)
List hapo chini inaonyesha timu zinazoanzia nyumbani (mkono wa kushoto) ni timu za aina gani na zinazoanzia away (mkono wa kulia) ni timu za aina gani
Screenshot_20220919-213711_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom