Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Manyonyo fc wanapenda kujiweka level sawa na wakubwa! cjui wanaakili gani hawa.Na mimi najiuliza hili swali ,Utopolo mwenye 0.5 za CAF aanzie ugenini .Pili wawe na adabu na Simba na wajue ni mkubwa.Wakibisha basi waanzie Ugenini kama wanaweza.