Na mimi najiuliza hili swali ,Utopolo mwenye 0.5 za CAF aanzie ugenini .Pili wawe na adabu na Simba na wajue ni mkubwa.Wakibisha basi waanzie Ugenini kama wanaweza.
Yanga anaanzia ugenini ambako hawezi kushinda iko wazi yaani atapoteza...ILA AKIRUDI KWA MKAPA ANAWEZA KUSHINDA CHA KUFANYA AJITAHIDI SAANA ATOKE NA GOLI HATA MOJA PALE SUDAN LITAMSAIDIA AKIJA KWA MKAPA
Ile tabaia yenu ya kupokea wageni airport mlishaacha ?Maana mlikuwa mnapokea Simba anawapa kichapo mnatiwa aibu mwisho wa siku wageni wakihisi mapokezi ya Utopolo yanaambatana na nuski wakaamua kuwa wanakuja kimya kimya.