Manepesa
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,065
- 3,714
Bado hajajibu hoja yangu...wewe Sasa sijui ni kijakazi mwambie boss wako ajibu hojaHeshima oyeee
Bado hajajibu hoja yangu...wewe Sasa sijui ni kijakazi mwambie boss wako ajibu hojaHeshima oyeee
Hali hii kwenye siasa zetu inajulikana muda mrefu, lakini ni watu wachache waovunja ukimya. Hatuwezi wapiga marufuku wake zetu kushiriki siasa, maana ushiriki wao tunauhitaji, lakini twaweza shiriki kuwatengenezea mazingira bora ya kufanya siasa. Tukifaulu kuondoa sexually transmitted nominations and price taged votes, tutakuwa tumepunguza matatizo yetu kwa sehemu kubwa.
Hayo ni mambo binafsi na tamaa za mtu husika ,Mh aanze kuchunguza huyu kamtongoza huyu mara yule si mbinguni atafika amechokaDada bona DiasporaUSA ongea na Waziri mnaweza kusaidia na wengine huko bungeni wanaopitia kipindi kigumu Cha ndoa zao
Mwanamke hupaswi kutoa rushwa ya ngono kupata cheo, kuharibu ndoa yako kisa cheo, kupata ukimwi kisa cheo, kutembea hovyo kisa cheo, Majuto ni mjukuu..Waziri hajafanya kazi yake vizuri kuwasaidia huko bungeni
Unajisema unajisifia unataka heshima Ila kirusi Kiko ndani....mamaeh...Amefungasha zigo la haja kudadeki
Counselling za ndoa zao kua waheshimu ndoa zao na wajikinge na maambukizi ya ukimwi ama kusambaza na kutoa rushwa ya ngono isiwe chanzo Cha kupata cheo...mtu apate cheo kulingana na elimu yake na weledi wake na si vinginevyo....unaona huyu Bona DiasporaUSA anajuta ndoa yake imevunjika Hana raha ana psychological breakdown /torture, na zaidi ana mdudu..tukiuliza hapa wanakuja kututishia eti wanataka heshima..heshima ushaathirika unatakaa heshima Gani ...Hayo ni mambo binafsi na tamaa za mtu husika ,Mh aanze kuchunguza huyu kamtongoza huyu mara yule si mbinguni atafika amechoka
Nimekupata mkuuCounselling za ndoa zao kua waheshimu ndoa zao na wajikinge na maambukizi ya ukimwi ama kusambaza na kutoa rushwa ya ngono isiwe chanzo Cha kupata cheo...mtu apate cheo kulingana na elimu yake na weledi wake na si vinginevyo....unaona huyu Bona DiasporaUSA anajuta ndoa yake imevunjika Hana raha ana psychological breakdown /torture, na zaidi ana mdudu..tukiuliza hapa wanakuja kututishia eti wanataka heshima..heshima ushaathirika unatakaa heshima Gani ...
Mbona kaifuta comment yakeNimekupata mkuu
Huyu dada nilishiriki kumfanya diwani na baada ya miaka mitano akawa mbunge. Nilisikitika sana nilipopata taarifa za ndoa yao kuvunjika maana kwenye ndoto zangu za kuwa na familia, nilitamani kuwa na familia kama yao.
Nasikitika naye
Counselling za ndoa zao kua waheshimu ndoa zao na wajikinge na maambukizi ya ukimwi ama kusambaza na kutoa rushwa ya ngono isiwe chanzo Cha kupata cheo...mtu apate cheo kulingana na elimu yake na weledi wake na si vinginevyo....unaona huyu Bona DiasporaUSA anajuta ndoa yake imevunjika Hana raha ana psychological breakdown /torture, na zaidi ana mdudu..tukiuliza hapa wanakuja kututishia eti wanataka heshima..heshima ushaathirika unatakaa heshima Gani ...
SawaUnajisema unajisifia unataka heshima Ila kirusi Kiko ndani....mamaeh...
Mheshimiwa inakuaje una ID 2...usiniulize nimejuaje...😄😄😄😄😄 Tumsifu Yesu Kristu
Kwa kukusaidia tu, nina Id 4, ilibidi ziwe 5. Moja nimesahau PWMheshimiwa inakuaje una ID 2...usiniulize nimejuaje...
👇Jibu hapa
Waziri wa sekta hio amefanya nini kuwasaidia wanawake wanaoathirika ama walioathirika na madhila hayo, NGONO zembe, ukimwi, magonjwa ya zinaa, ULEVI pombe madawa, ndoa kuvunjika, kuathirika kisaikolojia, kutishiwa kutopata vyeo sababu ya kutotoa rushwa ya ngono, anabaki kumbwelambwela tu, mana kama hawasaidiwi Ina mana hata uwakilishi wao hauwez kua na manufaa yoyote..unapambana na ukimwi ndoa kuvunjika, NGONO zembe mahusiano mbalimbali, kufanya NGONO kama kipaumbele Cha kupata cheo/vyeo, family breakages badala ya kupambana na masuala ya wananchi, mtu unashangaa watu wanapiga sarakasi bungeni, wanatukana watanzania tunaitwa makenge, tunawalaumu Bure tukadhani uchawa kumbe wanapitia mengi sana na akili imevurugika...
Madogo wa humu utawawezi, akishajiunga ki bundle chake basi ana comment chochote kile.Hayo ni mambo binafsi na tamaa za mtu husika ,Mh aanze kuchunguza huyu kamtongoza huyu mara yule si mbinguni atafika amechoka