DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Wewe kenge tu. Na uzuri umeshaanza kuwa na adabu. Ole wako urudie tabia mbaya.Kashikishe adabu MAMMBWA wenzio. Msaidie Waziri kujibu hoja, usitishe nyau dogo.
Wewe kenge tu. Na uzuri umeshaanza kuwa na adabu. Ole wako urudie tabia mbaya.Kashikishe adabu MAMMBWA wenzio. Msaidie Waziri kujibu hoja, usitishe nyau dogo.
Hahaahaa dah aiseee hata siku moja siwezi kuwa chawa wa mtu, huyu mazeri namkubali jinsi alivyo active huku JF basi.Uchawa huanza pole pole...😅
Ukioa mwanamke akaingia kwenye siasa, meza hubadilika juu chini.Wewe unawajuwa vizuri Wanawake? Huyo namba moja ni mara ngapi umemuona anasafiri na mume wake?
Hii comment yako imenifanya nicheke!Hiyo kazi unayojipa hakikisha siyo kinyume na sheria maana wakikushtaki itabidi uwe na ushirikiano wa kutosha bila usumbufu kule Polisi.
Kama ushamzalisha unakaa pembeni unaoa mwingineUkioa mwanamke akaingia kwenye siasa, meza hubadilika juu chini.
Wewe ndio unakua mke, na mkeo ndio anakua mume.
Dkt. Gwajima D asante sana maana huyu Sexless anajifanya kijogoo sana hapa JF ila ni wa pili kumnyamazisha kama ulivyomshughulikia MudawoteDuuh! Basi ngoja niendelee na maisha yangu. Yawezekana hata wewe mhe waziri unajua haya mambo yapo ila umekwepa kulijibu swali langu kwa kuuepuka mtego huu wa kushirikiana na polisi bila shuruti.
Asante kwa ushauri.
Nawaza huko bungeni kumechafukaje aisee....vipi na wewe DiasporaUSA unaishi kwa matumaini na Majuto makuu kama mbunge anayesemwa hapa? Waziri wako angefanya kazi yake vizuri huko ndani pengine bunge lingekua mahala salamaUmalaya wake tu, kutokuridhika na alipo(cheo chake) kurimponza.
Mkuu huyu ni waziri, hivyo nimeona tu nisimchoshe. Hawa wabunge tunaishi nao mitaani hivyo tunayaona wanayoyafanya na kuyapitia.Dkt. Gwajima D asante sana maana huyu Sexless anajifanya kijogoo sana hapa JF ila ni wa pili kumnyamazisha kama ulivyomshughulikia Mudawote
Ahsante Kaka, nishakimbiaLaiti Dada zangu mngejua Mume ni mume tu, na mna nguvu kubwa sana kufanya mume afanikiwe jinsi ambavyo mnataka nyinyi mngefanya mabadiliko Makubwa sana kwenye maisha yenu!
Hata kama una hela kiasi gani??!!!!! When you hir 45 to 50 bila mwanaume wa peke yako, unayemuita Mume kwa sababu ya dharau na upumbavu, mnakuja kujuta sana.
Hakuna furaha kama kuwa na umri huo, wa menopause, ukiwa na Mume wako pembeni, mwenye Historia na unayemuita wakwako, ni miaka michache ya uvumilivu ya kujitoa tu!
Ila huwa hamsikii, Yani Kuna vipepo vinawaingia fulani hivi mnashindwa kujielewa kabisa, na wanaume, mkiona mwanamke wa hivyo, Kimbia mapema sana!
Ila hujatenda haki kukaa kimya. Naamini ungemtendea haki Dkt. Gwajima D kama ungetoa kila unachojua. Hii ndiyo maana ya JF.Mkuu huyu ni waziri, hivyo nimeona tu nisimchoshe. Hawa wabunge tunaishi nao mitaani hivyo tunayaona wanayoyafanya na kuyapitia.
Nani asiyefahamu kuwa:-
1. Jesca Kishoa alimuacha Kafulila baada ya yeye kupata ubunge na Kafulila kuukosa?
2. Nani asiyefahamu habari za huyu Bona Kaluwa kumtupa mumewe kwa penzi la kuonjeshwa bungeni?
3. Nan asiyefahamu kuwa Rose Kamili alikuwa anachepuka na Mbowe?
Nimeona nikae kimya tu.
Natamani nikujibu lakini acha tuJamii hiyo hata mimi nimo,unamsapoti vipi mkeo apate kazi itakayomfanya akuachie wewe watoto uwaangalie?kama kuna wa kuogeshwa umuogoshe hivi hizi akili baadhi ya wanaume huwa wanazitoa wapi?
😀😀😀maana nikaona hilo zigo nimwachie abebe mwenyewe, sitaki manenoHii comment yako imenifanya nicheke!
Ahsante Kaka, nishakimbia