Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Habari ni njema sana mhe waziri. Naomba uniruhusu nami nikuulize swali.

Kwa tafiti zisizo rasmi pale bungeni wanawake ndiyo wanaongoza kusaliti ndoa zao mifano ipo mingi. Je, unadhani sababu ni nini na nini kifanyike ili jambo hili lisiendelee na kupelekea waume na jamii kwa ujumla kukataa kumruhusu mwanamke kushiriki siasa?
Haya mambo mnayatoa wapi? Mimi sijawahi yaona tafadhali
 
Sasa uongozi si sifa na ujuzi unao anza na kuwaongoza wale wanaokuzunguka na yale yanayokuzunguka na kujiongoza weww pia. Mbona huku ustawi wa jamii tunashuhudia uongozi hauna hata jinsia? Yaani Me au Ke wote wanaweza na kuna wakati wote hawawezi tu. Kwani kama wanaume ndiyo wote wanaweza uongozi, inakuwaje tuna wababa wametelekeza watoto wao, wanabaka na kulawiti watoto wao, wanajaza mimba watoto wa shule, na wana jazba wanapiga watu tu hawana skills za mazungumzo na ndiyo wamejaa huko magereza? Unadhani huo ndiyo uongozi sasa?

Na wakati wakifanya vurugu hizo mbona zigo aachiwa mama? Halafu mtoto akikua utaona wengine wanajirudisha na stori za ohhh mama fulani naona tumekuza mtoto nasikia yuko kidato cha 6?

Acha fujo rafiki. Uongozi siyo miliki ya kijinsia
SASA NAKUPA ELIMU MARA YA MWISHO .
kuna tofauti ya kuwa kiongozi na kuwa na akili ya uongozi...sikusema mwanamke awezi kuwa kiongozi....nimesema mwanamke hana akili ya uongozi ....sasa sijui kama wewe ujui tofauti ya hayo maneno ...mama yangu anaweza kuwa kiongozi tatizo ni akili ya uongozi anayo? Wewe umekazania hoja ambayo inaonyesha ushahidi wa msivyo na akili ...kuhusu kuongoza hata kichaa anaweza kuwa kiongozi tofauti ni je kichaa anaweza kuwa kiongozi mwenye akili ya uongozi ....tumia akili kuelewa.....Akili ya uongozi ndiyo akili adimu zaidi kwa binadamu hata kwa wanaume ni wachache sana waliyo nayo ...ila kwa kiumbe mwanamke ni hakuna kabisa ndiyo maana nakuakikishia hakuna mwanamke atakaye kuja kuwa kiongozi mzuri mwenye vision sahihi zitokazo kichwani mwake mwenyewe.
Ndiyo maana kwenye dini zenu kuna maandiko yanasema "kiongozi kipofu kuongoza vipofu " hivyo yanaonyesha vipofu wa akili wanaweza kuwa viongozi ....mimi sikusema wanamke awezi kuwa kiongozi nilicho sema ni kwamba mwanamke awezi kuwa na akili ya uongozi.
 
Mpuuzi ni tamaa zake tu,Msomali amempumulia weeeee sasa kamtema..
Sio kila Mbunge wakike anaingilika,Jaribu kwa Mama Mwanasha uone litakalokupata kwa Msoga.
Utakuwa hujui kitu wewe,uliza madereva wao wakufumbue macho.Anakilango pamoja na mzee wake,na kua mke wa Waziri mkuu mstaafu mbona akina Ngeleja walipita nae,inasemekana hivyo?
Akina Halima Bulembo na ZZK...?
Tulia kama hujui.We nenda kaoe hao wanasiasa,nao ukiwaambia hivyo wanasrma sito wote.
 
SASA NAKUPA ELIM7 MARA YA MWISHO .
kutatofauti ya kuwa kiongozi na kuwa na akil8 ya uongozi...sikusema mwanamke awezi kuwa kiongozi....nimesema wanamke hana akili uongozi ....sasa sijui kama wewe ujui todmfauti ya hayo maneno ...mama yangu anaweza kuwa kiongozi tatizo ni akili ya uongozi anayo? Wewe umekazania hoja ambayo inaonyesha ushahidi wa msivyo na akili ...kuhusu kuongoza hata kichaa anaweza kuwa kiongozi tofauti ni je kichaa anaweza kuwa kiongozi mwenye akili ya uongozi ....tumia akili kuelewa.....Akili ya uongozi ndiyo akili hadim7 zaidi kwa binadamu hata kwa wanaume ni wachache sana waliyo nayo ...ila kwa kiumbe mwanamke ni hakuna kabisa ndiyo maana nakuakikishia hakuna mwanamke hatakaye kuja kuwa kiongozi mzuri mwenye vision sahihi zitokazo kichwani mwake mwenyewe.
Ndiyo maana kwenye dini zenu kuna maandiko yanasema "kiongozi kipofu kuongoza vipofu " hivyo yanaonyesha vipofu wa akili wanaweza kuwa viongozi ....mimi sikusema wanamke awezi kuwa kiongozi nilicho sema ni kwamba mwanamke awezi kuwa na akili ya uongozi.
😅mbona una hasira kaaaali rafiki. Ukinionesha andiko moja la utafiti rasmi uliosajiliwa kuhusu haya usemayo, nitakuamini. Vinginevyo hizi ni hadith njoo tu tusukume wiki. Haya, nipe link ya utafiti wako😅

Iringa wanasema kamwene, nakaribia, nitakie heri🤗
 
Ninaondoka Bungeni Bila Mume Wangu, Bali na Mikopo Mikubwa na Aibu

Jana katika Sekretarieti ya NRM, nilifanya mahojiano yenye hisia kali na mbunge wa kike aliyekuwa amechukua fomu za uteuzi. Aliniruhusu kuchapisha taarifa hii bila kutaja jina lake. Yale aliyoshiriki yalikuwa ya kuhuzunisha na kufumbua macho, yakionyesha gharama halisi ya siasa kwa wanawake wengi.

Alianza kwa kusema, "Ninaondoka bungeni bila mume wangu, bali na mikopo mikubwa na aibu." Alieleza kuhusu ndoa yenye furaha aliyokuwa nayo na mume wake pamoja na watoto wao, ambayo ilivunjika baada ya yeye kujiunga na bunge mwaka 2016. Kuanzia mwaka 2017, familia yao ilikuwa kwenye vita kila wakati; nyumba yao ikawa kama uwanja wa moto. Alieleza kuwa hakuwa na muda kwa mume na watoto wake, kwani maisha yake bungeni yalikuwa yamejaa mikutano, safari, na kukutana na wanaume kutoka ngazi zote za serikali.

Alikiri kwa kusema, "Ukweli ni kwamba, maisha ya bungeni ni tofauti—unakutana na wanaume wa aina zote katika vikao vya bunge na kusafiri nao nje ya nchi." Alisimulia jinsi walivyokuwa wakikaa wiki kadhaa nje ya nchi kwa shughuli za kibunge pamoja na wabunge wa kiume, na jinsi safari hizo zilivyogeuka kuwa njia ya kuingia katika mahusiano yasiyofaa. "Hata kama wewe ni mwanamke mwenye msimamo, utaishia kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mbunge mwenzako, waziri, afisa mwandamizi wa serikali au usalama. Hii ndiyo hali halisi ambayo wabunge wanawake walioolewa hawasemi, lakini wanapitia."

Alieleza hali ya hatari ya safari hizo: "Unaenda nje ya nchi kwa wiki mbili na wabunge wa kiume na maafisa wa serikali, mnakaa kwenye hoteli moja, mnakula chakula pamoja—chai ya asubuhi, chakula cha mchana na cha jioni—na wanaume wote katika ujumbe huo wanakuvizia. Baadhi yao watakupa msaada wa kifedha, kukuahidi nafasi, miradi, safari—vyote." Alifichua kuwa wanawake wengi hushindwa kuhimili vishawishi hivyo vya kimapenzi, na wanaofanikiwa kuhimili hukumbana na madhara—kihisia, kifamilia, na kiafya. "Wengi wao wana maambukizi ya VVU," aliongeza kwa huzuni.

Alilalamikia jinsi alivyopoteza mwelekeo wa familia: "Nilipoteza hamu kwa mume wangu na kuanza kuzingatia zaidi wanaume niliokutana nao bungeni na serikalini. Sikutambua kuwa wanaume hawa walikuwa watumiaji tu." Alieleza kuwa mume wake alikuwa ametumia rasilimali nyingi kumuunga mkono kisiasa. "Tuliuza mali za familia, na alikosa kazi yenye mshahara mzuri katika shirika la kimataifa kwa sababu ya kujihusisha na siasa zangu. Baadaye alianzisha biashara, lakini wakati huo uharibifu ulikuwa umeshafanyika."

Kwa sauti ya huzuni, alieleza jinsi ndoa yake ilivyovunjika: "Niliwaona wabunge wengi wa kike wakitumbukia kwenye mapenzi na wabunge wenzao, mawaziri, na maafisa wa serikali, nilijizuia mwanzoni. Lakini baadaye nilijikuta nimejiingiza pia. Mume wangu akawa kama hana maana tena, sihitaji mtu wa kawaida wakati mimi nina nguvu na uhusiano na watu serikalini." Alisema kwa masikitiko kuwa baadhi ya wanaume hao walikuwa na VVU, na hawakuwa na hofu ya kueneza maambukizi.

Sasa, baada ya vipindi viwili bungeni, amebaki na maumivu na huzuni: "Familia yangu imevunjika, nimebaki na mikopo mikubwa, na upweke kamili." Alieleza kuwa mshahara wake wa milioni 5 kwa mwezi unaenda kwa walanguzi wa pesa, na hawezi hata kuhudumia jimbo lake. "Matumizi ni makubwa sana; wanaume waliokuwa wakinisaidia hawapo tena."

Majuto yalionekana wazi: "Ninajuta siku niliyoingia kwenye siasa. Nilimpoteza mume mzuri, mwenye upendo. Sasa nina miaka 49 na niko peke yangu." Alisema mume wake wa zamani ameteseka kwa miaka kumi, na baadhi ya watu serikalini waliwekeza ili kumuangamiza kifedha au hata kumuua. Alisema alikuwa na ushawishi mkubwa kanisani lakini anajihisi kama msaliti wa familia na maadili yake.

Alitafakari kwa kina: "Kama nisingeingia kwenye siasa, mimi na mume wangu tungekuwa na furaha, mafanikio, na familia nzuri. Sasa niko peke yangu, na jimbo limekuwa mzigo mzito. Gharama ni kubwa na najihisi nimefedheheka." Alikiri kuwa huomba msamaha kila siku anaporudi jimboni bila msaada wa mume. "Mwaka 2021, aliuza ardhi yetu ili kuniwezesha kisiasa. Samahani kwa kumsaliti."

Hadithi yake ni onyo kwa wanawake wanaotamani kuingia kwenye siasa: "Ukiingia kwenye siasa, unakuwa mbinafsi sana na mwenye tamaa kubwa, unafikiria vyeo tu. Ukianza kuwa na ndoto kubwa, utaishia kulala na wanaume watakaokusaidia kufikia ndoto hizo. Wanawake wengi wameishia hivi. Mbunge wa kike anapokutana na wanasiasa wakuu na wabunge wenzake, heshima kwa mume wake hupotea kabisa."

Alihitimisha kwa tafakari ya kusikitisha: "Mwishowe, nimebaki na majuto na huzuni tu. Najutia maamuzi niliyofanya na maumivu niliyoyasababisha kwa familia yangu. Nalia kwa kupoteza ndoa na mapenzi ya maisha yangu. Natumaini hadithi yangu itakuwa somo kwa wengine—epukeni makosa niliyofanya. Watoto wangu hawatakuwa wanasiasa. Kila mwanasiasa ni mwongo na asiye na uaminifu. Wanachojua ni kutumia na kutupa. Wote hujifanya kuwa na nguvu na uhusiano."

Hadithi yake inaonyesha gharama halisi ya tamaa ya kufanikiwa kwa haraka au bila msimamo.

CnP
Huyu kama Bona Kaluwa
segerea..aliachana Na mumewe..Na mgogoro mkubwa Wa kimapenzi
 
😅kwanza nicheke, mimi iwapo ni akili finyu basi wewe finyu plus plus, maana hata hujui uongozi wenyewe unaanzia hatua au ngazi ipi kwenye jamii ya binadamu.

Twende Iringa kumenoga..... 23 Juni WajaneDay.....
AKILI ZA MWANAMKE NI KITUKO KIKUBWA SANA ULIMWENGU..
Unakuta wamama watu wazima kabisa badala ya kuleta maendeleo ya familia zao wao wanaunda vikundi vya kipumbavu vya KUFA NA KUZIKANA ..swali kabla ya kuwepo hivyo vikundi kuna wanadamu walikuwa awazikwi ?
Binafsi napinga mwanamke kuwa kiongozi kwenye kitu chochote hata majeshini wakiwepo cheo cha juu kabisa kwa mwanamke kiwe kapteni ...napinga wajumbe wa nyumba 10 kuwa wanawake mitaani kumekuwa na majungu matupo tofauti na miaka ya 90
 
Hiyo kazi unayojipa hakikisha siyo kinyume na sheria maana wakikushtaki itabidi uwe na ushirikiano wa kutosha bila usumbufu kule Polisi.
Duuh! Basi ngoja niendelee na maisha yangu. Yawezekana hata wewe mhe waziri unajua haya mambo yapo ila umekwepa kulijibu swali langu kwa kuuepuka mtego huu wa kushirikiana na polisi bila shuruti.

Asante kwa ushauri.
 
Unaweza kujipa kazi ya kupinga na utekelezaji usiwepo na maisha yakaendelea hivyo, kama unaona inakupa faraja fulani kupinga, pinga tu kwa nguvu zote, tumekusikia ila ndiyo hivyo sasa tumetofautiana na wewe😅, tuendelee tu na maisha jamani, kutofautiana siyo vita
 
Natumaini wewe ni mkristo na unafaham tangu ngazi ya familia mwanaume ndiyo kichwa au kiongozi,hata lile lililokuwa taifa teule zamani hawakuwai kuwa na mkuu wa nchi mwanamke,haya ya leo ni kukengeuka tu Kwa binadam,ila kama ambavyo binadam hana uwezo wa kupaa angani ndivyo mwanamke pia hana uwezo wa kuongoza
Waliwahi kuwa na mkuu wa nchi mwanamke na alifanya upumbavu mkuu mno na kumwaga damu sana ...mwisho wake waisrael walimuua ...akili za mwanamke ni hatari sana kwenye uongozi .
 
Kuna la kujifunza hapa ...Hapa mwanangu mkewe naye sio mbunge ni kada tu ,ila kutwa yuko kweny vikao huko Dodoma

Yaani anajikuta mwanaharakati ,atulii nyumbani a jeuri kama zote , account zake za mitandao zimejaa post akiwa na kada wenzie kuliko hata mumewe .

Mimi bora nikachukue mke huko milimani kwa sambaa na wapare ila hawa wanaojifanya wasomi hapana ,mke yuko bussy na mambo ya kazi ha hauwezi kumzui ,unakuja kuagwa kapata scholarship ya Masters nje ,hauwezi kumzuia kwa vile aliomba .
Hii imemkuta rafiki yangu pia, tena wa karibu, mke wake aliingia kwenye siasa kama kada, akawa machachari kweli, nyumbani kukawa hakukaliki, jeuri aliyokuwa nayo sio ya kawida, nyumbani ataingia muda wowote na atatoka muda wowote atakapopigiwa simu na wakubwa, ndoa imevunjika hivi hivi naiona kwa macho yangu. Alikuwa anafukuzia uteuzi, kipindi kile vijana waliteuliwa sana u-DC.
 
Nafikiri ni watu kutokujua akili ya mwanamke, wanawake huwa wanapenda kuwa na watu walio juu yao kwa kila kitu.

Mwanamke wako hawezi kuwa kila siku anakutana na kujadiliana mambo na Waziri mkuu halafu akaendelea kukuheshimu wewe mwanaume aliyekuacha Dar ukifanya kazi zako za kawaida za mshahara wa milioni. Labda huyo mwanamke awe ana hofu ya Mungu sana!

Wewe unaweza kuwa unampa mwanamke wako milioni sita kwaajili ya matumizi kila mwezi, ila huyo mwanamke akikutana na mwanaume mwingine akampa milioni 20 kwa siku moja tu, mwanamke wako anaanza kukuona wewe takataka na sio wa 'level' zake.

Ni ngumu sana mwanamke wako kukutana na kukaa muda mrefu na watu waliokuzidi fedha, umaarufu na vyeo halafu akaendelea kukuheshimu na kukuona wa hadhi yake.
​
Ukweli kabisa, hii ndio hulka ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom