Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

😅mbona una hasira kaaaali rafiki. Ukinionesha andiko moja la utafiti rasmi uliosajiliwa kuhusu haya usemayo, nitakuamini. Vinginevyo hizi ni hadith njoo tu tusukume wiki. Haya, nipe link ya utafiti wako😅

Iringa wanasema kamwene, nakaribia, nitakie heri🤗
Unajua maana ya utafiti kweli ? Hata reality ni utafiti tosha ....kama leo tukizuia wanaume wote kuwa viongozi bali wanawake tu matokeo yake yatakushangaza .....tunasema siku zote watu wapumbavu ujifunza kwa maumivu na uchungu mkubwa maana mara zote u practice upumbavu hadi unapo waingiza kwenye hasara na majuto makuu ndiyo ujifunza ...mimi sikusema ni wanawake tu wasio na Akili ya uongozi bali nilisema hata wanaume ni wachache tu waliyo nayo ...kituko ni wewe unayesema kuwa wanawake wote walio zaaa wanayo akili ya uongozi....kituko kikubwa sana.
 
Akili za hao wanawake viongozi ziko kwenye kupunguza matatizo mengi sugu yanayosababishwa na BAADHI ya hao wanaume. 👇🤗
 

Attachments

  • IMG-20250610-WA0013(3).jpg
    IMG-20250610-WA0013(3).jpg
    274.1 KB · Views: 20
Madam Ruggeeee baada ya kuingia siasani alipata mgogoro mkubwa katika ndoa yake. Alifukuzwa bila viatu na aliyekuwa mumewe ila cdm walimstiri hadi leo kuhamia chaummma na g55 yao. Mume akafa kwa sonona na moyo.

Mkeo akiingia siasani sahau, ndoa imekufa hiyo.
 
Akili za hao wanawake viongozi ziko kwenye kupunguza matatizo mengi sugu yanayosababishwa na BAADHI ya hao wanaume. 👇🤗
Fanya utafiti mheshimiwa, utagundua wadau wanaongea facts japo hazina utafiti rasmi.

Wanawake wengi wanatumia ngazi haramu kufika kilele cha mafanikio yao, hasa kwenye siasa. Tunayo mifano mingi isiyo rasmi, wengi baada tu ya kuwa siasani na ndoa zao zimekufa au kuwa kwenye migogoro mikubwa. Hawa wamama wanaotajwa huko bungeni kuna ukweli, japo hatuwezi kuthibitisha kwa sababu ni issues personal ila ni public figures ambao kimsingi wakienda kinyume na maadili ni lazima wamulikwe.
 
Unajua maana ya utafiti kweli ? Hata reality ni utafiti tosha ....kama leo tukizuia wanaume wote kuwa viongozi bali wanawake tu matokeo yake watakushangaza .....tunasema siku zote watu wapumbavu ujifunza kwa maumivu na uchungu mkubwa maana mara zote u practice upumbavu hati unapo waingiza kwenye hasara na majuto makuu ndiyo ujifunza ...mimi sikusema ni wanawake tu wasio na Akili ya uongozi bali nilisema hata wanaume ni wachache tu waliyo nayo ...kituko ni wewe unayesema kuwa wanawake wote walio zaaa wanayo akili ya uongozi....kituko kikubwa sana.

Sasa huoni kuwa, hata kuzaa na kulea ni akili? Au huoni kama wako wasio na akili ndiyo hao badala ya kuzaa wanaua akiwa tumboni na akizaa anatupa huko au akiwa naye halei kabisaaaa..... sasa kwani akili si lazima zianze na msingi 😅
 
Nafikiri ni watu kutokujua akili ya mwanamke, wanawake huwa wanapenda kuwa na watu walio juu yao kwa kila kitu.

Mwanamke wako hawezi kuwa kila siku anakutana na kujadiliana mambo na Waziri mkuu halafu akaendelea kukuheshimu wewe mwanaume aliyekuacha Dar ukifanya kazi zako za kawaida za mshahara wa milioni. Labda huyo mwanamke awe ana hofu ya Mungu sana!

Wewe unaweza kuwa unampa mwanamke wako milioni sita kwaajili ya matumizi kila mwezi, ila huyo mwanamke akikutana na mwanaume mwingine akampa milioni 20 kwa siku moja tu, mwanamke wako anaanza kukuona wewe takataka na sio wa 'level' zake.

Ni ngumu sana mwanamke wako kukutana na kukaa muda mrefu na watu waliokuzidi fedha, umaarufu na vyeo halafu akaendelea kukuheshimu na kukuona wa hadhi yake.
​
Umemaliza kila kitu,ni ngumu sana mwanamke anayekutana na mtu aliyekuzidi kipato kukuheshimu,Labda awe na hofu ya Mungu!kwa kweli ni wachache sana.
 
Hii imemkuta rafiki yangu pia, tena wa karibu, mke wake aliingia kwenye siasa kama kada, akawa machachari kweli, nyumbani kukawa hakukaliki, jeuri aliyokuwa nayo sio ya kawida, nyumbani ataingia muda wowote na atatoka muda wowote atakapopigiwa simu na wakubwa, ndoa imevunjika hivi hivi naiona kwa macho yangu. Alikuwa anafukuzia uteuzi, kipindi kile vijana waliteuliwa sana u-DC.
😰Tatizo kweli
 
Sasa huoni kuwa, hata kuzaa na kulea ni akili? Au huoni kama wako wasio na akili ndiyo hao badala ya kuzaa wanaua akiwa tumboni na akizaa anatupa huko au akiwa naye halei kabisaaaa..... sasa kwani akili si lazima zianze na msingi 😅
Hakika msingi Bora wa malezi,ndio dira ya mwelekeo mwema katika jamii!
 
😅kwanza nicheke, mimi iwapo ni akili finyu basi wewe finyu plus plus, maana hata hujui uongozi wenyewe unaanzia hatua au ngazi ipi kwenye jamii ya binadamu.

Twende Iringa kumenoga..... 23 Juni WajaneDay.....
Sasa Mheshimiwa mbona haujibu hoja kuu mna roam around the bush? Wewe ni Waziri wa sekta hii, unawasaidiaje wanawake ambao wanaathirika na haya huko bungeni ulipo wewe pia ..umalaya, uzinzi, maambukizi ya ukimwi, kupata cheo kupitia kutoa rushwa ya NGONO, kutishiwa, kuathirika kisaikolojia, ULEVI, matatizo ya ndoa zao yanayoyachamgiwa na wao kutokua na HOFU ya Mungu na kua waaminifu kwenye "korido" za bunge ,, yote haya nataka nijue wewe kama Waziri unachukua hatua Gani ili bunge liwe sehemu Salama na lenye heshima
 
SASA NAKUPA ELIM7 MARA YA MWISHO .
kutatofauti ya kuwa kiongozi na kuwa na akil8 ya uongozi...sikusema mwanamke awezi kuwa kiongozi....nimesema wanamke hana akili uongozi ....sasa sijui kama wewe ujui todmfauti ya hayo maneno ...mama yangu anaweza kuwa kiongozi tatizo ni akili ya uongozi anayo? Wewe umekazania hoja ambayo inaonyesha ushahidi wa msivyo na akili ...kuhusu kuongoza hata kichaa anaweza kuwa kiongozi tofauti ni je kichaa anaweza kuwa kiongozi mwenye akili ya uongozi ....tumia akili kuelewa.....Akili ya uongozi ndiyo akili hadim7 zaidi kwa binadamu hata kwa wanaume ni wachache sana waliyo nayo ...ila kwa kiumbe mwanamke ni hakuna kabisa ndiyo maana nakuakikishia hakuna mwanamke hatakaye kuja kuwa kiongozi mzuri mwenye vision sahihi zitokazo kichwani mwake mwenyewe.
Ndiyo maana kwenye dini zenu kuna maandiko yanasema "kiongozi kipofu kuongoza vipofu " hivyo yanaonyesha vipofu wa akili wanaweza kuwa viongozi ....mimi sikusema wanamke awezi kuwa kiongozi nilicho sema ni kwamba mwanamke awezi kuwa na akili ya uongozi.
Handwriting ni shida sanaaa kwako kale Shule hiyo kwanza unaandika kwa pressure ya kumjibu mama kama unachuki nae
 
Daktari asikuumize kichwa huyo mwananchi. Inawezekana anatokea Kwenye zile jamii ambazo hadi sasa haziamini katika usawa wa kijinsia na fursa sawa. Bado wanadhani dunia inazunguka katika muktadha wa vijiji vyao.
Kama wizara nadhani mna kazi kubwa sana ya kuendelea kutoa elimu kwa hii jamii yenye mtazamo huo ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo utaikuta ikiwa na cases nyingi za Gender Based Violence.
Pathetic.
 
Back
Top Bottom