Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
Ngoja nisome maana ajabu nimefungua uzi huu nikajikuta kwenye komenti ya huyu jamaa yetu nikasema heeee vipi tena humuMama shikamoo.
Mama angu Wewe umetetewa kwenye post za nyuma kwenye huu huu uzi.
Mjumbe amekoment kua mama Gwajima yeye ndo ndoa yake ipo stable.
Angalia post namba 42 kwenye huu huu uzi.