Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Imeisha hiyo. Sio bungeni tu, hata kwenye maisha ya kawaida ya maofisini, mwanamke akishajifanya ana malengo makubwa kuliko mume wake na connection za wanaume wa kutimiza hayo malengo mwisho wake hufanana hivi.
Kweli mkuu ukiona mwanamke anajifanya mipango mikubwa mikubwa ujue anadanga kwa watu wa Zito, lakini mwisho wao unakua siyo mzuri wana baki peke yao.
 
Nakazia.
Kuna mwingine namjua alitaka ndoa tu kaipata akaanza drama ndoa imeshajifia kwa miezi tu. Mwanamke mwanasiasa sijui UVccm siyo wa kuoa.
Mkuu siyo CCM peke yake ata vyama vya upinzani na ata hao waavaa ushungi kutoka Zanzibar wana lalamikiwa na jamii yao, utakuta akishapata ubunge uko Zanzibar na akishafika Dodoma tu ana badilika na ndoa inakufa.
 
Tena tu vijana twa usalama tunawalamba balaa, hakuna Waziri mwanamke ambaye hajaliwa na vijana hao, kama yupo abishe! Ndiyo maana katiba mpya muhimu vyeo viwe kwa vigezo siyo ngono na rushwa
Hiyo kawaida sana hasa kwa wale wabunge wa viti maalumu wanaliwa sana na vijana wa TISS wakiamini ya kwamba kuwa karibu na vijana wa TISS mambo yao yatawanyookea kitu ambacho si kweli 😁
 
Huyuu namjua vizri tuuu ,ni mbunge mmoja wa Jimbo maarufuu ,huko kwenye mkoa maarufu sana hapa Tz.

Nikiconnect doti kadhaa kadhaaa ,sasa ivi hana ndoa nazani hata majina yake yapo tofauti na alipoanza ubunge ,nampa pole ndugu yangu.
tayari ashajulikana kenge yule, hiyo ndiyo picha ilivyo, poleni wajuba mnaoa wanasiasa
 
Hata mawaziri wote hawa wa kike wanaliwa sana ili kupata teuzi yaani mtu anaambiwa kabisa na kakijana mimi ndiye nimeshika hatima ya uwaziri wako yaani wanatafunwa balaaaaaaa na tuvijana, yaani hata Mama yetu walishamlamba mnoooooo hahaha hakika wanawake sijui kwa nini wanashindwa kubadili katiba ili vyeo vipatikane kwa competency na siyo ngono
Hao baadhi yao wanajiheshimu na wakiliwa wanafanya siri sana ila sio hawa viti maalamu moto wanaopelekewa sio wa nchi hii....

Hiyo kulana wao kwa wao ni kweli' na wengi afya zao sio nzuri ukikichanganya unaanza dozi ya kumeza njugu baada ya muda fulani...
 
Sana ndiyo maana wengi hata maamuzi yao bungeni unaona kabisa zile dozi zinayumbisha dish la kichwani
 
Kweli mkuu ukiona mwanamke anajifanya mipango mikubwa mikubwa ujue anadanga kwa watu wa Zito, lakini mwisho wao unakua siyo mzuri wana baki peke yao.
Kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom