Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Ni hatari sana kwetu sote kuanza kutumia muda huu adhimu kujadili mambo yasiyo rasmi.....
Mambo ya migogoro mnarasimisha wenyewe ,chukulia hiyo sikukuu ya wanawake duniani . Mnafanya makongamano ya kujazana sumu ,kuwasema vibaya wanaume .

Mnaona wanaume ni maadui zenu yet mnataka kuolewa na kupata watoto...Hapa mambo mpige marufuku sio maadili ya mwafrika yameletwa tu na wazungu .
 
Kuna ndugu yetu alimsomesha mwanamke mwisho wa siku yule dada akawa mwalimu wa secondary,jamaa akalazimisha hadi akafunga nae ndoa akawa mkewe,mwaka huu alipoteuliwa kuwa mkuu wa shule huwezi amini mwezi wa tano akamtimua mumewe nyumbani na anadai talaka yake.
Huo ni ulimbukeni wake unaotokana na malezi aliyokulia,hauna uhusiano na jinsia yake.
 
Siyo bungeni tu hata waliopo Ikulu (mmoja katimua mume wake mzenji na kubaki na viben 10
Mbona hamueleweki, mara mseme mwanamke akipanda hadhi atataka mwanaume wa juu zaidi, wewe tena unakuja na hoja iliyo kinyume chake. Au ndio dalili za kuchanganyikiwa ?
 
Duuu
Mambo ya migogoro mnarasimisha wenyewe ,chukulia hiyo sikukuu ya wanawake duniani . Mnafanya makongamano ya kujazana sumu ,kuwasema vibaya wanaume .

Mnaona wanaume ni maadui zenu yet mnataka kuolewa na kupata watoto...Hapa mambo mpige marufuku sio maadili ya mwafrika yameletwa tu na wazungu .

Duuu, nawe umetoa wapi hayo tena, ulikuwa mkutano wa wapi huo wenye hiyo fujo? Mbona huku iringa na wagane nao wapo na wote wenye kutaka kushiriki jinsia zote wanakaribishwa? Sijaelewa wapi mnapata hizi habari ambazo zinanishangaza shangaza, hebu lete taarifa saidia tafadhali tujue wakatueleze kama hayo ndiyo walitumwa na sera zetu rasmi.
 
Za asubuhi Mhe?
Mimi sina mengi naomba namba ya Bona Kamoli tu.

Nimeingia website ya bunge sijaziona sijui wamezitoa.
 
Ni hatari sana kwetu sote kuanza kutumia muda huu adhimu kujadili mambo yasiyo rasmi.....
Kiongozi , jamii yetu ina idadi kubwa ya busybodies. So ipo haja ya kufanya jitihada za maksudi kuweza kupunguza idadi ya vijana wasio na shughuli maalumu za kufanya kiasi cha kutumia muda wao mwingi kutema sumu/nyongo zao mitandaoni.
 
Back
Top Bottom