Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

Duuu


Duuu, nawe umetoa wapi hayo tena, ulikuwa mkutano wa wapi huo wenye hiyo fujo? Mbona huku iringa na wagane nao wapo na wote wenye kutaka kushiriki jinsia zote wanakaribishwa? Sijaelewa wapi mnapata hizi habari ambazo zinanishangaza shangaza, hebu lete taarifa saidia tafadhali tujue wakatueleze kama hayo ndiyo walitumwa na sera zetu rasmi.
Wewe binafsi una maadili ila kundi kubwa linajenga uhasama wa kijinsia ..Ni asili imeamua hivyo ila wanaume hatuna uhasama na wanawake kama wanavyodai hao wanaharaka wa kimgharibi.
 
Kiongozi , jamii yetu ina idadi kubwa ya busybodies. So ipo haja ya kufanya jitihada za maksudi kuweza kupunguza idadi ya vijana wasio na shughuli maalumu za kufanya kiasi cha kutumia muda wao mwingi kutema sumu/nyongo zao mitandaoni.
Kwahio wewe ni busy body...unajiuza wapi au ulijiuza wapi ukapata teuzi...
 
Kama umepata kwa kujitoa ufahamu na kua mpumbavu kias hiko hongera sana ...mwambie waziri wako ajibu hoja yangu.
Ipi tafsiri yako ya kujitoa ufahamu ?
Mnachofeli ni kitu kimoja ndugu zanguni, mnaamini mtu timamu ni yule anayekosoa na kukashfu watu hovyo hovyo tena kwa matumizi ya lugha kali, kumbe mambo hayapo hivyo. Tunaweza kutofautiana mitazamo pasipo kubagazana. Asante.
 
Natumaini wewe ni mkristo na unafaham tangu ngazi ya familia mwanaume ndiyo kichwa au kiongozi,hata lile lililokuwa taifa teule zamani hawakuwai kuwa na mkuu wa nchi mwanamke,haya ya leo ni kukengeuka tu Kwa binadam,ila kama ambavyo binadam hana uwezo wa kupaa angani ndivyo mwanamke pia hana uwezo wa kuongoza

Wapi Biblia inamzuia mwanamke kuongoza.
Tupe Hiyo Sheria/Torati Katia Biblia.

Kumbuka sio kila neno kwenye Biblia ni Sheria.
 
Mbona hamueleweki, mara mseme mwanamke akipanda hadhi atataka mwanaume wa juu zaidi, wewe tena unakuja na hoja iliyo kinyume chake. Au ndio dalili za kuchanganyikiwa ?
Kuna tofauto ya tamaa ya pesa na tamaa ya ngono ...hivyo kanuni zote mbili ni sahihi .....kwenye tamaa za sex mwanamke akiwa na fedha utafuata na kutamani viben 10 zaidi ila kwa tamaa ya pesa wanamke utafuta wenye pesa zaidi.
 
Bonah Kamoli yupo bize kuwahonga wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo.

Anamwaga pochi siyo mchezo, Ubunge siyo utumishi tena, ni biadhara kubwa ambayo kama huna mtaji wa kuwekeza achana kabisa na ndoto za kuwa mbunge bila kufanyika Reforms.
Nilivyo soma nikajua tu anae ongelewa sio huyu.Huyu huwa ana fungu la ubunge hawezi kuwa analia njaa kama alie wekwa kwenye hii thread.
 
😅mbona una hasira kaaaali rafiki. Ukinionesha andiko moja la utafiti rasmi uliosajiliwa kuhusu haya usemayo, nitakuamini. Vinginevyo hizi ni hadith njoo tu tusukume wiki. Haya, nipe link ya utafiti wako😅

Iringa wanasema kamwene, nakaribia, nitakie heri🤗
Kamwene bila shaka uko kwenye VIEITE ,
 
Kwahio wewe ni busy body...unajiuza wapi au ulijiuza wapi ukapata teuzi...??
Mbona umekomaa sana na suala la kujiuza ?
Au ni eneo ambalo umebobea kiasi cha kuhisi kuna watu wanaweza kukuingilia ?
Relax mdogo wangu, wewe kama umechagua kujiuza endelea kujiuza at your risk.
 
Mbona umekomaa sana na suala la kujiuza ?
Au ni eneo ambalo umebobea kiasi cha kuhisi kuna watu wanaweza kukuingilia ?
Relax mdogo wangu, wewe kama umechagua kujiuza endelea kujiuza at your risk.
Kwahio wewe ni busy body...unajiuza wapi au ulijiuza wapi ukapata teuzi...??
 
Hii imemkuta rafiki yangu pia, tena wa karibu, mke wake aliingia kwenye siasa kama kada, akawa machachari kweli, nyumbani kukawa hakukaliki, jeuri aliyokuwa nayo sio ya kawida, nyumbani ataingia muda wowote na atatoka muda wowote atakapopigiwa simu na wakubwa, ndoa imevunjika hivi hivi naiona kwa macho yangu. Alikuwa anafukuzia uteuzi, kipindi kile vijana waliteuliwa sana u-DC.
Aliupata au ikawaje
 
Kuna tofauto ya tamaa ya pesa na tamaa ya ngono ...hivyo kanuni zote mbili ni sahihi .....kwenye tamaa za sex mwanamke akiwa na fedha utafuata na kutamani viben 10 zaidi ila kwa tamaa ya pesa wanamke utafuta wenye pesa zaidi.
Hizo ni contradictory scenarios, hauwezi ku force ziwe practised na mtu mmoja.
 
Sasa kwenye safari si huwa hakuna gender balance,alikuwa anajigawa vipi na "Mafisi"yanakuwa mengi.,au ilikuwa yale ya kisa cha kina Mbaraka Mwinshehe "Mashemeji wangapi.....".
 
Mwanamke wa kwenu kwenye hiyo sayari yenu mliko labda😅, sisi wa huku duniani hii ya leo tunaweza tena tunaweza sana, hujambo lakini? Habari za asubuhi huko uliko kwenye sayari ya masafa ? Huoni hadi na salaam tunatoa, sehemu ya uongozi wa utu hiyo🤗
Habari ya asubuhi.

Mnaweza lakini Gari haifuati chaki kuna muda inavuka mpaka chaki kuelekea upande wa pili.
 
Back
Top Bottom